Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,107
- 2,922
Sawa mkuuSafi usisahau ku add friends username hizi
edokissy nyingine ni eddieog
Sawa mkuuSafi usisahau ku add friends username hizi
edokissy nyingine ni eddieog
VVD hawajakupa badoShikran mkuu...yes mbappe nimeona nikilpg in kesho yupo pale....nashukuru calcedo Kuna muda anakwamisha safari yangu
Bado mkuu....namsubiriaVVD hawajakupa bado
Nitaomba nione inafanyaje kazi maana Hawa jamaa skills zimezidiAnaetumia padi humu ndani ni Gilberto_ ukicheza nae utaona namna padi inavyofanya kazi😃😃😃 wengine wote tunakaza vidole😃😃😃
Watakupa na yeye siku si nyingi mweke pale akusaidie kukaba...Bado mkuu....namsubiria
Aah utafungwa nyingi sana ngojea kikosi kikuekue kwanza kidg...Nitaomba nione inafanyaje kazi maana Hawa jamaa skills zimezidi
Acha kunitonesha kidonda mkuu, hiyo account walipita nayo wajanja 😂Huyu Sergio Busquet umempeleka wap mkuu😃
Pole sana😃😃Acha kunitonesha kidonda mkuu, hiyo account walipita nayo wajanja 😂
Asante mkuu ndio nakuza kikosi taratibuAah utafungwa nyingi sana ngojea kikosi kikuekue kwanza kidg...
pambana mkuuAsante mkuu ndio nakuza kikosi taratibu
Jamaa sijui alikuwa na akili gani yule mpuuzi, kulikuwa na Villa wa 104 mule alikuwa hatari sana halafu kocha Gerald wa 500 coins 😂Pole sana😃😃
Amna hiyo😃😃😃 choma coins hizo
Alijua kabisa kama ungekuwa naye ungekuwa unanifunga kila siku 🔥Jamaa sijui alikuwa na akili gani yule mpuuzi, kulikuwa na Villa wa 104 mule alikuwa hatari sana halafu kocha Gerald wa 500 coins 😂
Kama ingekuwepo mpaka sasa huenda Strength ingekuwa inasoma 3150+ maana ilipotea ikiwa na 3112.
Kwenye ndoto inawezekana😅
😅😅account za e football ni deal kumbeAcha kunitonesha kidonda mkuu, hiyo account walipita nayo wajanja 😂
Ili uwe mzoefu zaidi inabidi umfunge kibonde wa umu kwanza ,tupande badae😂😂Asante mkuu ndio nakuza kikosi taratibu
HahahahAh eee badae tukutane😅😅account za e football ni deal kumbe
Ili uwe mzoefu zaidi inabidi umfunge kibonde wa umu kwanza ,tupande badae😂😂
😂😂mkuu dvn huwa nacheza kuboresha skills ila sio kukomaa nipande maana sessions ikiisha unarudishwa uliko anzia na mala zote huwa simalizi sessions.Mr Devil unashindwaje kutoka hapo dvn 6 mkuu hahahahah..... Kaza vidole hivo
Mimi kibonde mtandao umewazingua jamaa hadi nimepanda....nikakomaa na event tu .japo nazo za moto