eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Naskia bro is too heavy in the game
1748952554896.jpg
 
Torres mzee
Angalia kati ya Torres na Haaland yupi mwenye physical contact nzuri halafu mpe instruction ya counter target, akicheza na Owen ambaye atakuwa free itakuwa unyama.

Ila nahisi Haaland atakuwa bora zaidi maana playstyle yake ni Target Man.

Hata Kane anafaa pia maana ni Deep lying.
 
Halaand pass mzee zimepita kushoto😃😃😃
 
Back
Top Bottom