eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Kikosi changu cha mwisho kukitumia nimebonda sana wahindi online match wanaquit 😂na hio formation ya 4222 ya Rafael Benitez.

Ilikua mwendo wa counter attacking football tu. Nilikua na asrosto nalo balaa sasa tangu nihisi account yangu wameshaifuta mzuka nalo umepotea.View attachment 2812465View attachment 2812466View attachment 2812467
Hivi Edo kissy unajua kua nipo kwenye huu uzi since day 1 kama mchangiaji😀. Ila kama mchezaji tena mwaka jana baada ya kupata simu 😀
 
Sio mkongwe nimecheza 2018 hadi 19 mwanzoni nikaacha. Nikarudi 2021 mwishoni hadi 2022 mwanzoni waka update game simu ikawa haina uwezo nikaachana nalo. Nimerudi tena mwaka jana mwezi wa 8😀
2018 ila ni mzoefu, mimi nimeanza 2023 mwanzon ila nlikiwa nacheza mara moja sana mwaka jana ndo nipo nalo bega kwa bega.
 
2018 ila ni mzoefu, mimi nimeanza 2023 mwanzon ila nlikiwa nacheza mara moja sana mwaka jana ndo nipo nalo bega kwa bega.
Alafu kuna mimi mwezi wa pili mwaka huu
GqvlM_kXIAI-uGI.jpeg


Alafu kuna razorblade mpoteza Id🤣tupo nae tena mwakan huyu atakuwa na Id mpya🤣🤣🤣
73b1a05b6268804864ca9c0a7f6f3f67.jpg
 
Back
Top Bottom