Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Maelezo niliyokupa hukuridhika nayo ila nadhani kwa jibu hili umeelewa kwanini Adams nimempa anchoring 😂View attachment 3353723
NEGAN mkuu tusaidie maelezo mazuri hapa naona kila mtu kaelewa kivyake... Razorblade ndo kabisa hajatoka na kitu...
Hii Anchoring inafanyaje kazi??
Kazi yake mchezaji mwenye anchoring instruction ana baki kwenye position yake uwanjani hazururi kulia au kushoto ana make vertical movement tu(mbele nyuma) sio kulia kushoto.