Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,074
- 33,781
Sawaa Pep Guardiola Mnene Razorblade MgundaNataka boli litembee š
Sawaa Pep Guardiola Mnene Razorblade MgundaNataka boli litembee š
Konami wezi sana, kutunza coin ni ngumu sana dadeqšMkuu naomba uniache, nina hasira za furaha š
Konami walichonifanyia ni unyama sana, coins 800 zimeenda kwaajili ya Rodri š
View attachment 3353179
Huweza kuwašš anaogopa kufungwa zaidi anatafuta sababu chap.View attachment 3353457
Hivi kwanini poor connection inakuwaga tu pale mtu unapofunga goalš
Au huwa wanaponyeza flight mode
Hivi huyo kante ana maajabu gani?View attachment 3353481
Tulikubaliana kuspin mwisho coin 100 wasipokupa basiššš®
Ninunue kocha wa long ball counter au quick counter then nimcheki mtaniš
Hapa ndo huwa sijisumbui, sina bahati nazo hizi epic šKonami wezi sana, kutunza coin ni ngumu sana dadeqšView attachment 3353447
Kwangu huyo kwenye individual intsruction nampa counter target halafu namuwekea Mbappe au Torres, humu tu šHii card ya halaand kumbe ni target manš¬š¬š¬š¬š„ŗš„ŗš„ŗkwa mchezo wangu hanifai
Ilinikuta hii, nimemtia mtu chuma kwenye PvP events nikaona huo ujumbe šView attachment 3353457
Hivi kwanini poor connection inakuwaga tu pale mtu unapofunga goalš
Au huwa wanaponyeza flight mode
Wewe na kutunza coin š«².........š«±šNgoja nitunze zimngojee
Tchou ni mzito kama tank kugeuka ila ana speed rodri mwepesi na anajua kukaa na mali ila akikutana na good dribbler Rodri na ile speed ya kono kono šBora kukosa speed lakini kwenye pasi iwe unyama, kuwa namba 6 hainamaana kazi yake iwe ni kukaba tu š
Rodri yuko bora, speed atatumia za kwangu š
Kikosi kimekamilika mkuuView attachment 3353481
Tulikubaliana kuspin mwisho coin 100 wasipokupa basiššš®
Ninunue kocha wa long ball counter au quick counter then nimcheki mtaniš
Ndiyomaana kwangu Tony Adams nimempa instruction ya anchor na Beckham nimempa defensive.Tchou ni mzito kama tank kugeuka ila ana speed rodri mwepesi na anajua kukaa na mali ila akikutana na good dribbler Rodri na ile speed ya kono kono š
Mbona hujamtag mlengwa mkuu ššš kaka nimebadili username saivi Gilberto_ tu. Mana mwanzo nilikuwa nataka niweke Gilberto kavukavu tu JF wakanikataa nikaamua nijiite Guilberto.
Nirudi kwenye hiyo mada š, wewe mwenyewe ulisema twende nikakukamie uwanjani na mi nikasema okay tukakamiane huo moto uliokutana nao mpaka ukaanza kuniambia natumia pads ššš
Kaka nipo huku Sengerema kila mtandao naotumia ni jau tu. Hapa toka juzi nacheza Division AI pale, ila kuna maeneo nikikaa 4G inasoma japo tukicheza haitomaliza 90'.Mkuu leo twende nikakukamie umekua adimu sana
šš nashangaa nimemquote kabisa ila imejikata yenyeweMbona hujamtag mlengwa mkuu š
šš kaka nimebadili username saivi Gilberto_ tu. Mana mwanzo nilikuwa nataka niweke Gilberto kavukavu tu JF wakanikataa nikaamua nijiite Guilberto.Guilberto ukicheza nae ni kukamia tuu ukilegeza kidg umekufa tano
Sasa mtu unaona kabisa hutoboi Airplane mode ipo kwa ajili yakoView attachment 3353457
Hivi kwanini poor connection inakuwaga tu pale mtu unapofunga goalš
Au huwa wanaponyeza flight mode
š¤£š¤£š¤£ Kuna mimi na Razorblade Nyota za Kunguni na panzi tumetumia Coin 800 hapo š¤£š¤£š¤£View attachment 3353481
Tulikubaliana kuspin mwisho coin 100 wasipokupa basiššš®
Ninunue kocha wa long ball counter au quick counter then nimcheki mtaniš