Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Basi endelea kukataa 😂Me najiona bado ndo maana sitaki kukubali😃😃
Basi endelea kukataa 😂Me najiona bado ndo maana sitaki kukubali😃😃
Hata nikicheza nae mechi 10 bado atanifunga tu 😂, haya madude yanahitaji ucheze mara kwa mara ili kuimprove.Hii mechi ipigwe maana kila upande unatamba😃
Duh kwani huyu hajui kazi ya Flight Mode 😂 au kazi ya kile kidude cha Forfeiting 😂💔😃😃😃Jana basi tu alinikuta na mimi mbovu ila angekufa nyingi mno kama jamaa yake hapaView attachment 3331562
Hiyo DLS na FTS tu ndo inawezekana kufanyiwa hivo, efb wataishia kututengeneza moded patch tu.Kuna moja nimeona sijajua ni DLS au efootball,wameifanyia modding ina mpaka timu za bongo
Ngoja tufanye mpango kuwe na link kabisa ya Tiktok muone😃😃Hii mechi ipigwe maana kila upande unatamba😃
NAKATAAA siachi😃😃Basi endelea kukataa 😂
Na nitakunyanyasa sana mpka uludishe form utakuwa umeoga nyingi sanaHata nikicheza nae mechi 10 bado atanifunga tu 😂, haya madude yanahitaji ucheze mara kwa mara ili kuimprove.
Tangu nilivyopanda dvn 2 ni kama vile mood pia imeshuka, hata nikiwa nacheza na AI nahisi mood ipo chini.
Muda wa kucheza friend match pia umekuwa mdogo ndiyomaana mara nyingi nacheza AI maana hata nikitoka katikati ya mechi nikija kurudi naresume tu.
Kipindi cha mpito tu hichi.
Jamaa alikaza Ego ilikuwa juu...Duh kwani huyu hajui kazi ya Flight Mode 😂 au kazi ya kile kidude cha Forfeiting 😂💔
Sheria msumeno mkuu, mie nilitaka upost ila wewe tu uligoma 😂Na nitakunyanyasa sana mpka uludishe form utakuwa umeoga nyingi sanaView attachment 3331792
NB nilisema sipost ila hii nimeweka kukutia hasira😃😃
😄😄😄😄Hiyo DLS na FTS tu ndo inawezekana kufanyiwa hivo, efb wataishia kututengeneza moded patch tu.
Labda PES lile la kwenye PSP ndo lipo mpaka la bongo.. Aziz Ki ni Messi mtupu 😄
Saa 4 mkuu tupashe kitambo hatujachezaWakuu naombeni friendly mnipe ujuzi.
Matokeo bila picha ni uzushi 😃🤣😃Sheria msumeno mkuu, mie nilitaka upost ila wewe tu uligoma 😂
Basi utanifunga sana 😂, hili game limekula muda wa kutazama movies/series kiasi kwamba latest nyingi zinanipita.
Aah oya unataka mpaka Razorblade akupige mkono ndio utie heshima 😃Kwann unamkimbilia Edo kissy wakati nipo hapa😃😃😃
Edo atacheza na Negan me nipo na wewe mpaka ukimbie🤣🤣🤣🤣
Twende RoomView attachment 3332104
Nilikuwa nakusubiri unifundishe game sijakukuta online 😂Kwann unamkimbilia Edo kissy wakati nipo hapa😃😃😃
Edo atacheza na Negan me nipo na wewe mpaka ukimbie🤣🤣🤣🤣
Twende RoomView attachment 3332104
Mkuu upepo mbaya huu napigika tu 😂Aah oya unataka mpaka Razorblade akupige mkono ndio utie heshima 😃
Mpige 5 urudishe heshima😃Mkuu upepo mbaya huu napigika tu 😂