NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,764
- 4,272
Nani huyo ningekua mimi chuma ya 8 na ๐โโ๏ธ ๐โโ๏ธ ๐โโ๏ธ๐๐๐Jana basi tu alinikuta na mimi mbovu ila angekufa nyingi mno kama jamaa yake hapaView attachment 3331562
Nani huyo ningekua mimi chuma ya 8 na ๐โโ๏ธ ๐โโ๏ธ ๐โโ๏ธ๐๐๐Jana basi tu alinikuta na mimi mbovu ila angekufa nyingi mno kama jamaa yake hapaView attachment 3331562
Pamebadilika kwa Amrabat๐ na AMF kuwa SSMkuu huu ndo uleule mfumo ambao uliniambia nikiushika nitashinda sana sasa sijui wapi pamebadirika ๐.
Selikavu aje aseme hapa kama amenifunga kwa kupita kati, nilienda kwenye mechi kuangalia hilo tobo mnalosema lakini sijaliona.
Razorblade imebid niende kufukua mfumo wako wa mara ya kwanza uone utofauti...Tangu nimchukue Gesperin nilikuwa nahangaika kutafuta mfumo ambao utakuwa na ufanisi zaidi katika playstyle zote(QC & LBC), bahati mbaya mfumo wenye huo ufanisi ulikuwepo kwenye update ya 2023 na sasahivi haupo.
4-1-3-2 ndo mfumo wenye ufanisi zaidi kwa QC na LBC, unakupa idadi kubwa kwenye kushambulia na kuzuia pia.
View attachment 3318724
Imenibidi kuutengeneza mwenyewe na nimeujaribu mara kadhaa kupitia AI Controlled na kweli huu mfumo uko vizuri sana kwa hizo playstyle.
View attachment 3318727
View attachment 3318729
Hii ndiyo raha ya pre seoson ๐.
Nimekuambia twende leo kaka ukaone uzaifu๐๐Mkuu huu ndo uleule mfumo ambao uliniambia nikiushika nitashinda sana sasa sijui wapi pamebadirika ๐.
Selikavu aje aseme hapa kama amenifunga kwa kupita kati, nilienda kwenye mechi kuangalia hilo tobo mnalosema lakini sijaliona.
Huyu jamaa yangu shabiki wa liver anaongea mno alafu kitambo tangu 2022 anapost anacheza hili game๐๐๐nikamwomba game ya kirafiki akaweka dakika 15๐คฃ๐คฃ๐คฃna mchezo wangu kwel wa kuvizia dakika 15 nikasema hana. Bahati๐๐ mpka nilichoka kufunga nikawa nafika golini napiga mpira kwa kipa wangu๐๐Nani huyo ningekua mimi chuma ya 8 na ๐โโ๏ธ ๐โโ๏ธ ๐โโ๏ธ
Tamba mkuu wakati wako huu ๐๐๐๐Jana basi tu alinikuta na mimi mbovu ila angekufa nyingi mno kama jamaa yake hapaView attachment 3331562
Me bado nasisitiza mchezo wa jana kaka sikuwa kwenye ubora maana umefika golin kwangu mara nyingi... Targets yangu siku hizi nikujua kukaba nafasi mpinzani asipiteTamba mkuu wakati wako huu ๐
Hujanifunga sababu ya DMF ila huo ni uwezo wako, unacheza friendly nyingi kunizidi kwahiyo kiwango chako hakiwezi kuwa palepale.
Hayo mabadiriko ni sawa na asha na aisha ๐Pamebadilika kwa Amrabat๐ na AMF kuwa SS
Namie nataka kucheza mchezo ambao mtu nikimfunga ajiulize amefungwaje.Me bado nasisitiza mchezo wa jana kaka sikuwa kwenye ubora maana umefika golin kwangu mara nyingi... Targets yangu siku hizi nikujua kukaba nafasi mpinzani asipite
Second striker sio saww na Attacking midfield...Hayo mabadiriko ni sawa na asha na aisha ๐
Nilicheza na wewe kwa mfumo ule nikala 6 kwa mfumo uleule pia Selikavu akanifunga mechi 3+.
Kwahiyo tunakinzana okay๐Namie nataka kucheza mchezo ambao mtu nikimfunga ajiulize amefungwaje.
Nataka kuhakikisha nashinda nikiwa ndani ya box.
Nitarudi kukuambia huu mfumo unavyocheza mkuu.Second striker sio saww na Attacking midfield...
SS hashuki kufata mipira na moja ya roles zake sio kushuka kusaidia team kukaba yeye anasogea eneo ambalo atapokew mpira chini kdg ya center foward...
AMF anashuka kukaba mkuu anafata mpira chini kabisa huku
Hamna huu mfumo ni mimi ndo sijaushika bado ila unavitu ambavyo nahitaji ๐.Kwahiyo tunakinzana okay๐View attachment 3331584
Sawaa kakaNitarudi kukuambia huu mfumo unavyocheza mkuu.
Sawaa sikatai kuwa watu wengi wana prefer fowards wengi mbele kuanzia wa nne...Hamna huu mfumo ni mimi ndo sijaushika bado ila unavitu ambavyo nahitaji ๐.
Kwanza tukubali kuwa hakuna mfumo ambao hauna udhaifu ila ni namna gani unaweza punguza huo udhaifu kulingana na mbinu na sifa za wachezaji kwenye maeneo husika.Sawaa sikatai kuwa watu wengi wana prefer fowards wengi mbele kuanzia wa nne...
Ila shida kwako ipo kwenye midfield mzee ๐๐๐
Unakumbuka siku nilikwambia twende uwanjani nikuonyeshe udhaifu wa huu mfumo wako kwenye flanks na nikafanya hivyo sasa na mie nataka uonyeshe udhaifu wa mfumo wangu hapo kati ๐No Anchorman no Problem Baston Got it covered๐๐๐
View attachment 3331715
Kaka kama kumbukumbu zangu zipo vizuri mfumo huu tumechezea mchezo wa mwisho achana na ya leo usiku...Unakumbuka siku nilikwambia twende uwanjani nikuonyeshe udhaifu wa huu mfumo wako kwenye flanks na nikafanya hivyo sasa na mie nataka uonyeshe udhaifu wa mfumo wangu hapo kati ๐
๐๐๐Sawaa kaka nisiongee sana๐๐๐tukutane leo usikuKwanza tukubali kuwa hakuna mfumo ambao hauna udhaifu ila ni namna gani unaweza punguza huo udhaifu kulingana na mbinu na sifa za wachezaji kwenye maeneo husika.
4-1-3-2 huu mfumo una AMF watatu ambao mmoja anakaa kati na wawili pembeni, nilichobarisha hapo ni kumfanya CAM kuwa SS ambapo bado yupo kwenye nafasi ileile isipokuwa amesogea juu kidogo.
Timu ikiwa haina mpira SS pamoja na hao CF's wanakabia juu na timu ikiwa inashambulia anashuka kupokea mipira kwa mmoja miongoni mwa SMF(R au L) ambae atakuwa ameingia ndani kama namba 10.
Udhaifu wa kwanza hapo upo kwa Mbappe ambaye akienda juu kurudi kuzuia wakati timu inshambuliwa ni mara chache.
Udhaifu wa pili upo upande wa Beckham ambaye speed yake ni ya kawaida kiasi kwamba nikipoteza mpira Trent akiwa juu yeye siyo wakutegemea sana kukulinda.
Udhaifu mwingine kwakuwa nashambulia kwa idadi kubwa maana yake hata mabeki wa kati wanasogea juu kiasi cha kutoa nafasi kwa mpinzani mwenye washambuliaji wenye speed na anaetumia mipira mirefu.
Mstari wowote wa viungo unavunjwa kwa pasi ndefu haijalishi kutakuwa na idadi kubwa kiasi gani ila kama mpinzani ataweza kudondosha mipira nyuma ya viungo wa kati au anaweza kupiga vizuri pasi ndefu hapo kati anaweza pita vizuri tu ila kwa battle ya viungo hapo kati kwangu bado ninao wengi.
Selikavu hataki kukubali kuwa ame improve na badala yake anataka kukaza kuonyesha mfumo wangu kati kuna tobo jambo ambalo hajanithibitishia hata kwa hizo mechi zote alizoshinda, kuwa mkweli mkuu umekutana na Amrabat mara ngapi hapo kati na zote amekupora mipira ๐