Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,211
- 96,060
Kitambo Sana, tume Anza na fts, dls, siku hizi niko ps au PC games mzee.Mkuu kumbe nawe pia ni mwanachama, nilijua unatupa madini ya series tu kule jukwaani.
Kitambo Sana, tume Anza na fts, dls, siku hizi niko ps au PC games mzee.Mkuu kumbe nawe pia ni mwanachama, nilijua unatupa madini ya series tu kule jukwaani.
Pamoja mkuu.Kitambo Sana, tume Anza na fts, dls, siku hizi niko ps au PC games mzee.
😂Huyo ni raisi wetu wa majobless pro max lazima awe anapenda games
Niki amka saa 11 naendelea kucheza league, baadae nacheki series.Huyo ni raisi wetu wa majobless pro max lazima awe anapenda games
Mkuu golini nafika ila nataka kutengeneza nafasi nyingi na kushinda nikiwa ndani ya box ndiyomaana shots kwangu zinakuwa chache.View attachment 3332154
Upo vizuri sema golini hufiki sana, jitahidi uwatumie vizuri winger wako kutoa cross.
Mitano tena kwa majobless pro max 😂Niki amka saa 11 naendelea kucheza league, baadae nacheki series.
saa 10 kucheza karata, jioni narejea home kula + games and kulala
Kama hizi😃😃Aah oya unataka mpaka Razorblade akupige mkono ndio utie heshima 😃
Nimekuja kwa kuchelewa kaka alafu nilikuwa na kiporo na jamaa mmoja hivi😃Nilikuwa nakusubiri unifundishe game sijakukuta online 😂
Kwamba muosha huoshwa 😂Kama hizi😃😃View attachment 3332158
Eniwei alishawai kunipiga sita kama hakuscreenshoot basi imekula kwake 😃😃😃
Leo ungeshinda kaka mechi zetu huwa ni derby haitabiliki😃Mkuu upepo mbaya huu napigika tu 😂
Ilikuwa jokes kidogo mkuu namtania jamaa yanguMuache atakurudia
Nimekutumia invite nikaona huingii room nikakuangalia tena nakukuta uko kwenye mechi.Nimekuja kwa kuchelewa kaka alafu nilikuwa na kiporo na jamaa mmoja hivi😃
Nipo na wewe msimu huu😃😃Ni kipindi cha mpito tu hiki mkuu atajaa tu kwenye 18 huyu 😂
Nimecheza na Edo kissy nimeona kidogo imekuwa tofauti na nilivyocheza na wewe jana sasa sijui amecheza kawaida tu au kwakuwa sijacheza nae muda mrefu.Leo ungeshinda kaka mechi zetu huwa ni derby haitabiliki😃
Form is temporary but class is permanent class yako sio level yangu ata nikileta ujuaji😃😃bado ushaniachaToa maoni yako kwa ufupi mkuu nipo katika jitihada za kurejesha kiwango changu.
Sema jana nimependa sana unavyocheza mkuu sasahivi pira aviator halipo tena 😂, unatuliza mali chini tupishane.Form is temporary but class is permanent class yako sio level yangu ata nikileta ujuaji😃😃bado ushaniacha
Mheshimiwa Aikaeli unafanya nini huku...Nime toka kuki chafua ps 4, Aston villa vs man city league.
Game one nili shinda 3-2, game 2 3-0 man city kapata 1 shot on target.
Haaland kafichwa