Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,040
- 33,688
Nimekumbuka after kucheza nikiwa nimeamia kwenye 4222 ulinifunga game moja tatu moja ya pili tukadraw sijui 😃Nilitaka usipate goli mkuu, kabla ya mechi nilitaka nikwambie ushindi wako pekee leo ni kupata goli 😂.
Nilikuwekea mbappe mbavuni kukuonyesha kuwa huo mfumo wako utakuwa ukifungwa sana kutokea pembeni.