Effects of knowing a person outside jf............prefer anonymuos

yaani ukiingia kwa Smile tuu..natimba kwa marejesho..

Utaishia ukutani Mkuu! Mimi na Smile tuna nadhiri tuliweka huko kwenye mapango ya Amboni na marejesho anajua!

ahahaaa mganga alowachanjia Filipo na marejesho alikufa kitambo hawaachani hao ..mimi nilichoka kabisa..nikaamua kuwa family friend

Natumaini atakuwa amekuelewa! Kwahiyo sasa!?

bado kidogo bwana

Unanichelewesha ujue!!!?

Cc: marejesho na Filipo mwenyewe asijekana

Mbona anafahau sana tu!
 
Last edited by a moderator:
Umegonga kwenyewe kabisa Best!!!! Kuna mkaka mmoja jina kapuni alitaka ushauri wangu ili kukutana na members fulani hapa mie nikamwambia baadhi ya hao members hawasomeki kwani michango yao iko kushoto kushoto hivyo nikamshauri awe extra careful. Wakakutana baada ya muda akaanza kuniambia BAK una uwezo kweli wa kusoma watu. Wale jamaa yaani ni bomu ile mbaya wamewaambia watu wengi kuhusu mimi sasa hivi baadhi ya members ambao sina mazoea nao huwa wananiuliza vitu ambavyo sijawahi kuwaambia pia napata request FB za watu nisiowajua kitu ambacho siku za nyuma hakijawahi kutokea. Mbaya zaidi ni waongo wa kutupa!!!! Kwa kifupi akaniambia ANAJUTA SANA!!!! Hivyo kujuana na watu hapa ni akili mkichwa.

Kero kuliko yote ni pale unapoamua kummeet member mmoja na yeye akaamua kukupromote na kuhakikisha members wote wanakujua.
Ngoja nisiseme sana kha
 
Kweli avatar zinachanganya watu.. eti Paloma, ni avatar au ni wewe halisia.

niambie kwanza wewe, hiyo avatar yako ni avatar tuuu au ni wewe halisia?

ukinijibu nitafurahi sana kukujibu!
cc sosoliso
 
Last edited by a moderator:
niambie kwanza wewe, hiyo avatar yako ni avatar tuuu au ni wewe halisia?

ukinijibu nitafurahi sana kukujibu!
cc sosoliso
Wengine humu vibibi mnataka mahusiano,kweli kua uyaone...
 
Last edited by a moderator:
Kitaa tosha kuwajua,sasa wewe mpaka jf unataka kuwajua kubali matokeo wengine humu wameshindikana..
 
niambie kwanza wewe, hiyo avatar yako ni avatar tuuu au ni wewe halisia?

ukinijibu nitafurahi sana kukujibu!
cc sosoliso

Huyu bombom anaulizia avatar yako..? Aulizie anaemiliki hapo.. Naona kucha zake zimekuwa.. anataka anyofolewe..
 
Last edited by a moderator:
Hahaha best im just glad mimi niko reserved sana hasa juu ya kujiweka karibu na mtu. Bora tukutane na kucheka humu, no strings attached. Ukaribu bila kujuana tabia unaweza kuharibu urafiki kabisaa.

Umenikumbusha first impression ya AshaDii juu yangu, ambayo ilinifanya nibadili avatar lol. Kuna watu wanasend mixed signals... But zimwi likujualo halikuli likakwisha, ukiwa anonimous nadhani ni raha tu.
Umegonga kwenyewe kabisa Best!!!! Kuna mkaka mmoja jina kapuni alitaka ushauri wangu ili kukutana na members fulani hapa mie nikamwambia baadhi ya hao members hawasomeki kwani michango yao iko kushoto kushoto hivyo nikamshauri awe extra careful. Wakakutana baada ya muda akaanza kuniambia BAK una uwezo kweli wa kusoma watu. Wale jamaa yaani ni bomu ile mbaya wamewaambia watu wengi kuhusu mimi sasa hivi baadhi ya members ambao sina mazoea nao huwa wananiuliza vitu ambavyo sijawahi kuwaambia pia napata request FB za watu nisiowajua kitu ambacho siku za nyuma hakijawahi kutokea. Mbaya zaidi ni waongo wa kutupa!!!! Kwa kifupi akaniambia ANAJUTA SANA!!!! Hivyo kujuana na watu hapa ni akili mkichwa.
 
Last edited by a moderator:
Kitambo kama 3 years ago kuna member mmoja alipendekeza wana JF tukutane nikiwemo mie, roho ikasita nikachomoa kukutana nao. Saa ngapi aje kunishutumu najiona mara nasijikia tena katika thread kadhaa alivyokuwa ananijibu kwa kunipaka ile mbaya. Nikampotezea na nina amani sijawahi kukutana nao.

Pia kuna members wanaokutana na members wengine halafu wanaanza kuwatangazia wakoje kimaisha yaani full profile na bla bla bla kibao. Hii siyo nzuri kabisa, sema ndiyo hivyo binadamu tumeumbwa kuongea.

Kuna wengine wakikufahamu (hata kama umewapa details za uwongo mtandaoni) wanafungua ID zingine/kuwaambia members wengine na kukurushia kitu fulani kinachokugusa ipasavyo yaani unakuwa na uhakika na kilichosemwa ila hujui ni nani..huu usengery wa hali ya juu.

Kuna watu wazuri pia hapa JF ni kuwasoma vizuri watu kabla hamjafahamiana vizuri siyo unaingia 100%..
 
Hahaha enichekesha sana. Kuna watu wana hekaheka na jf hadi basi. Mie hapa kitup cha kahawa tu. Na mie kuna mbwiga alilisakanyua jina langu (nahisi aliambiwa na mpuuza flani ambae nilimsaidia issue kwa email so akajua my name). Kanitumia pm flani hujambo? Nilimdharau sana. Kitaa tu vijana wa kijiweni nisiowajua wananifahamu details, coz they follow me japo siko tweeter! Unaona dili kujua jina langu? Kha!

Its about class my gal! Kama mtu ana class anajua mipaka yake. Kuna watu najua kabisa wamenishtukia humu jf but they are kind enough kutoniambia usoni. Ustaarabu ni neno gumu sana.
mie kuna member tulibadilishana no coz kuna ishu alinishirikisha nimsaidie, siku moja likaniambia kumbe nyamayao una jina zuri hivi? nikamuuliza kwanini? kumbe limefanya kama kunitumia mpesa ili mradi lipate kujua jina kamili, nilim block chaaaapp! yaani mtu unashindwa kufanya mambo yako ya maana unahangaikia ishu zisizokusaidia kabisa, sasa likiwa zuri/baya linakusaidia nini?
 
Huyu bombom anaulizia avatar yako..? Aulizie anaemiliki hapo.. Naona kucha zake zimekuwa.. anataka anyofolewe..
sosoliso nawe zako zipo zote?
bombom watu wamepata masaibu kwa kutaka kujua the person behind avatar. wengine "wameng'olewa kucha" na "kukatwa kabisa vidole" imagine unaishije sasa kama sio kuwa fukara.
 
Last edited by a moderator:
Kitambo kama 3 years ago kuna member mmoja alipendekeza wana JF tukutane nikiwemo mie, roho ikasita nikachomoa kukutana nao. Saa ngapi aje kunishutumu najiona mara nasijikia tena katika thread kadhaa alivyokuwa ananijibu kwa kunipaka ile mbaya. Nikampotezea na nina amani sijawahi kukutana nao.

Pia kuna members wanaokutana na members wengine halafu wanaanza kuwatangazia wakoje kimaisha yaani full profile na bla bla bla kibao. Hii siyo nzuri kabisa, sema ndiyo hivyo binadamu tumeumbwa kuongea.

Kuna wengine wakikufahamu (hata kama umewapa details za uwongo mtandaoni) wanafungua ID zingine/kuwaambia members wengine na kukurushia kitu fulani kinachokugusa ipasavyo yaani unakuwa na uhakika na kilichosemwa ila hujui ni nani..huu usengery wa hali ya juu.

Kuna watu wazuri pia hapa JF ni kuwasoma vizuri watu kabla hamjafahamiana vizuri siyo unaingia 100%..

Belinda ulininyima namba yako ya simu wewe.
 
Hahaha enichekesha sana. Kuna watu wana hekaheka na jf hadi basi. Mie hapa kitup cha kahawa tu. Na mie kuna mbwiga alilisakanyua jina langu (nahisi aliambiwa na mpuuza flani ambae nilimsaidia issue kwa email so akajua my name). Kanitumia pm flani hujambo? Nilimdharau sana. Kitaa tu vijana wa kijiweni nisiowajua wananifahamu details, coz they follow me japo siko tweeter! Unaona dili kujua jina langu? Kha!

Kwa nini unanisema lakini?
 
Wengine humu vibibi mnataka mahusiano,kweli kua uyaone...
NattyDread kumbe vibibi havitakiwi kutaka mahusiano?!?! kwani mahusiano unayoyazungumzia hapa ni ya namna gani?!?
na vibabu je?
 
Last edited by a moderator:
Lol. Nna mpangonwa kuanza kuuza kicheko changu. Kumbe watu wakiongea na mimi wanafaudu eeh (usiniombe namba ya simu, sina simu mie). Kumbe mnasaka vingi hadi gestures hehehe. Usije ukamliza mwenzio maksudi ili uone analiaje.
weweeee.... hand gestures, the twinkling of the eye, the burst of laughter, the smile--or even a cry. haya yote yananogesha interaction, na humu kwenye computer uwezi pata hiyo! kwa hiyo meeting a person ina advantage zake.

lol. My mom said i shouldnt talk to strangers. Kwani wakati ukiwa mdogo ulikuwaga huoni ambulance za manyonya damu? Shauri yako!
.....LOL!!! Eti ukimuuliza kwanini anataka kikumeet hana jibu!
Wengine mumiani wanyonya damu nini humu?
 
Mbona kawaida sana disappointments ni part of life so deal with it..hata ukipata namba ya manzi ukachat chat nae siku unakutana nae unakuta namna gani vipi unaamsha tu..!!!
 
Best bora uendelee hivyo hivyo. Watu wengine noma sana anakujua wewe ni nani kisha anawaeleza watu wengine 100 yule King'asti jina lake la kweli ni fulani halafu ni waongo wa kutupa!!!! Wao wanataka kujua kuhusu wewe tu ili waendelee kukutangaza halafu wao wanakukwepa ile mbaya!!!! unapotaka kujua kuhusu wao na stories zao nyingi ni za kuunga unga tu haziingii akilini. Best kwenye hii habari mengi nimeyaminya lakini dah!!!!! It is better to remain anonymous.

Back
Top Bottom