Edward Simbeye ajiondoa CHADEMA, adai ni kampuni binafsi

Edward Simbeye ajiondoa CHADEMA, adai ni kampuni binafsi

Mdee ndio anadhalilika pale kisutu ana kesi zaidi ya 20
kesi haziwezi kumzalilisha Mdee,

Mashiji ndiyo anazalilika kwasababu yupo kwenye kesi na watu aliowatupia madongo punde baada ya kununuliwa na Polepole.
Moja ya makubaliano ilikua ni kumfutia kesi Mashiji.
 
EDWARD SIMBEYE aliyekuwa Katibu mwenezi wa BAVICHA anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mambo mbalimbali yanayoendelea ndani ya chama hicho huku akimlaumu mweneykiti wa Chama hicho kuwakandamiza baadhi ya viongozi wa chama hicho pamoja na matumizi ya Lugha ya matusi iliyopelekea wengi wao kukihama chama hicho na kuongeza kuwa Chama kimepoteza malengo.

Live hapa

Jamani Chama makini kama Chadema na huyu naye alikuwa ndani ya chama hiki? Mungu wangu! Uzuri wanajichuja wenyewe.
 
kesi haziwezi kumzalilisha Mdee,

Mashiji ndiyo anazalilika kwasababu yupo kwenye kesi na watu aliowatupia madongo punde baada ya kununuliwa na Polepole.
Moja ya makubaliano ilikua ni kumfutia kesi Mashiji.
Duh daudi Mchambuzi una moyo Sana kushabikia chadema ya sasa
 
Chama ni wanachama, sio viongozi. Viongozi ni sehemu ndogo tu ya wanachama. Yaani wale waliowachagua hawa wabunge na madiwani ndio wenye chama. Eti madiwani 11 nayo ni habari? Hata kitongoji kimoja tu hawatoshi hao. Sembuse Simbeye na umbeya wake. Hawa lengo lao ni ulaji, wameahidiwa ulaji tu. Nilikuwa najiuliza madiwani ni wa jiji la Mbeya lakini ghafla wote kwa pamoja wanakuwa Dodoma kwa Bashiru. Nani kawakusanya? Nani kawatoa Mbeya kwa mkupuo? Bashiru kishakuwa shetani mla watu.
 
Kama Sumaye...[emoji23] Anapumzika sasa kutafakari chama gani makini chenye lengo la kushika dola [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Wanasahau, Chadema ipo mioyoni mwa watu. CCM na Project yao ya akina Zitto hawawezi kuidhoofisha Chadema. Haya ni mawimbi tu. Tutasonga! Acha wapungue

Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm na Zitto tena?....🙄🙄🙄....siasa za hii nchi bhana.....!!
 
EDWARD SIMBEYE aliyekuwa Katibu mwenezi wa BAVICHA anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mambo mbalimbali yanayoendelea ndani ya chama hicho huku akimlaumu mweneykiti wa Chama hicho kuwakandamiza baadhi ya viongozi wa chama hicho pamoja na matumizi ya Lugha ya matusi iliyopelekea wengi wao kukihama chama hicho na kuongeza kuwa Chama kimepoteza malengo.

Live hapa

Sasa tushike lipi? Wenzako walisema yote yaliyokuwa yakipiganiwa na Chadema Jiwe anayatekeleza kwa hiyo hakuna haja ya upinzani. Wewe unakuja na Chadema Kampuni ya mtu binafsi. Lipi ni sahihi?
 
HATUA YAKE HII INATUSAIDIA NINI SISI WATANZANIA. HASA KWENYE HAWA MAADUI WETU WAKUBWA, UJINGA, MARADHI NA UMASIKINI.
 
KWA YANAYOFANYWA NA CHAMA HIKI HUWEZI KUAMINI KUWA NI CHAMA TAWALA TANGU ENZI NA ENZI. UTAFIKIRI NDIO WANAJIFUNZA SIASA. SHAME ON THEM!
 
Meanwhile,wasiokuwa hata na kadi ya chama wanatuaminisha kuwa chama ndo kinaimarika zaidi!😁

Siku mkiacha propaganda na kuukubali ukweli itakuwa too late.

"Chombo cha kuzama,hakina(ga) usukani"

#MwambaTuvushe #5Tena!
 
Back
Top Bottom