Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
Huwezi kujua kwa sababu huna macho ya kukuwezesha kujua. Zitto ni project maalum ya kuidhoofisha Chadema na kukifanya kiwe chama kikuu cha upinzani. Ukibisha bisha lakini ukweli ni huoMbona hueleweki unasema Project ya kina Zitto unachang'anya yeye na CCM wapinawapi? Angekuwa na CCM angewasema hata nje yanchi wanyimwe pesa?
Sent using Jamii Forums mobile app