mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,662
- 2,325
What will they be fighting for mkuu? nawaambia hata Mbowe apewe uongozi tume ya Taifa ya uchaguzi, huyo mnaekesha humu mkimdhihaki watanzania ( the majority) tutampa zaidi ya 95% ya kura za urais.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichekesho ni pale ccm inapogoma tume huru ya uchaguzi, lakini inatembea na asilimia za ushindi mfukoni chini ya tume isiyo huru ya uchaguzi. Tusiandikie mate wekeni tume huru ili mpate asilimia 100 zisizo na utata.