Edward Simbeye ajiondoa CHADEMA, adai ni kampuni binafsi

Edward Simbeye ajiondoa CHADEMA, adai ni kampuni binafsi

Kumbe huyo alikuwa ni tapeli tu hata hapo tayari keshawatapeli ccm. Kumbe alikuwa ni Political Reject huko alikotoka.

Ccm wamechanganyikiwa inaonekana sasa wamebadili tena mkakati, wameamua kuweka AK 47 pembeni kwa kuwagwaya akina Pompeo baada ya kusikia orodha ya Washingtone bado haijakamilika na sasa wamerejea tena mnadani.
 
EDWARD SIMBEYE aliyekuwa Katibu mwenezi wa BAVICHA anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mambo mbalimbali yanayoendelea ndani ya chama hicho huku akimlaumu mweneykiti wa Chama hicho kuwakandamiza baadhi ya viongozi wa chama hicho pamoja na matumizi ya Lugha ya matusi iliyopelekea wengi wao kukihama chama hicho na kuongeza kuwa Chama kimepoteza malengo.

Live hapa
Hawajamsikia Rais kuwaita akina Kabudi wapumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom