Edward Simbeye ajiondoa CHADEMA, adai ni kampuni binafsi

Edward Simbeye ajiondoa CHADEMA, adai ni kampuni binafsi

Mtajuana huko huko, majera aliyotuachia Mbowe 2015 bado hayajapona pambaneni tu .
Ajabu sana! Majeraha aliyoleta Mbowe ni kwa kuleta choo chumbani (according to Dr Slaa) sasa choo kimeondika chumbani na kuja dining hall watu bado wamekasirika lakini wanatoka chumbani kwenda dining hall kukaa na choo huku wakiendelea na wimbo "umeleta choo chumbani".
Hakuna mwenye akili atakuelewa eti utawala wa Chadema waweza kumkasirisha mpigania haki za Watanzania akatoka Chadema na kujiunga CCM.

Kama hujaridhishwa na Chadema na uongozi wake, kwa nini usiende ACT, NCCR au Chama kingine kuendeleza falsafa yako ya kupambana na maovu unayoyapinga?

Haiwezekani sheikh achukizwe na utendaji wa BAKWATA kisha tumkute anafakamia kitimoto eti kwa vile sheikh wa mkoa Dar anaifanya Bakwata Mali yake sasa ataendeleza ushehe wake akiwa Katoliki.
Atakaye muona shehe huyo anaakili yeye ndio anapaswa kupimwa Mirembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji33][emoji33][emoji33]Kwamtazamo wangu CHADEMA, kama Chama inabidi ijitadhimin mbona kundi limekuwa kubwa hivi la kuondoka Hakka kunamahari hapako sawa ndan ya Chama. nataman CCM iondoke lakiniKwa hamahama napatauchungu mwingi Sana maani Nina five Years tunasotea ajira..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, haya yananikumbusha kipindi cha NCCR mageuzi
Chama kilikuwa na nguvu ya kuchukua dola
Yakaanza mambo kama haya
Mmoja mmoja akajitoa NCCR na ikawa ndio na mwanzo na mwisho wa nccr
Natabiri
Mbowe atakuja kujiudhuru yeye mwenyewe
Watu Wana yasema yalio juu ya meza siku wakija kufunguka yalio uvunguni mwa kitanda
Mbowe anaweza kutangaza kuachia ngazi akiwa ughaibuni
Na huku chama kikiwa kipo ICU..
muda utazungumza..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji33][emoji33][emoji33]Kwamtazamo wangu CDM,kama Chama inabidi ijitadhimin mbona kundi limekuwa kubwa hivi la kuondoka Hakka kunamahari hapako sawa ndan ya Chama.nataman ccm iondoke lkn Kwa hamahama napatauchungu mwingi Sana maani Nina five Years tunasotea ajira..

Sent using Jamii Forums mobile app
Viti maalumu mbona awahami Zanzibar mbona awahami wao kulikoni?
 
Duh! inabidi na mimi sasa nianze kujitafakari. Anyway ngoja niendelee kuvumilia.
 
Back
Top Bottom