Ndugu yangu!!! We nenda tu kwenye kazi zako usipoteze muda na mambonya siasa.
1995 tulimsukuma Mzee wa Kilalacha. Akiwa na baragashia yake, hapa Masumbuko Lamwai, Mabere Marando the sniper(TISS), huku sheih Mtopea, kumbe walikuwa ni ccm ktk cover tu, NccR chama chenye nguvu kikafa kifo cha kuvurugana na kuhama, kumbe Mzee wa Kilalacha naye niTiss Naibu waziri mkuu cheo ambacho katiba ya Tz alikuwa nacho. Mara CDM 2015 tukazungusha mikono hapa mzee whitehair Lowasaaaaa mabadilikooooo, nikakumbuka huyu ni waziri mkuu mstaafu tena safari hii na Sumaye wote hawa wako kwenye payroll ya serkali na ulinzi wa serkali halafu wanaitukana serkali NIKAWAZA SANA,Mabere marando ndani ya nyumba Dr Slaa akayumbisha dish picha ikaanza mara chenga mara picha , wale walio wengi upinzani kindakindaki, wimbi la kuhama likaanza nikajiuliza tena hivi hawa watu wananunulikaaaa? Basi kama ni hivyo hakuna uongozi huko juu. Natabiri CDM kifoo hichooo, sasa inakuja ACT nayo itapanda juu ila kifo kinaifuatia.
Nikajumuisha kuwa Demokrasia ya vyama vingi tuliambiwa na wazungu na 20% ndio walikubali, sasa Tz tukatengeneza njia ya kuendana na hawa wazungu wee nenda kule na wewe pale mimi na kaa hapa na ccm tuende nao.
Kwahiyo kule juu ya uongozi hakuna upinzani,
Tz nyoko sana wazungu hapa wamechemsha,
Sisi tuendelee kupendana bila kujali chama kipi sisi ni waTz.
Sent using
Jamii Forums mobile app