Atapewa tu hata kama nchi haina maji wala umeme mpaka vichwa vya watanzania vitakapoondolewa dozi ya kulogwa.What will they be fighting for mkuu? nawaambia hata Mbowe apewe uongozi tume ya Taifa ya uchaguzi, huyo mnaekesha humu mkimdhihaki watanzania ( the majority) tutampa zaidi ya 95% ya kura za urais.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app