SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,088
- 75,524
Mbona hatumjui huyo?EDWARD SIMBEYE aliyekuwa Katibu mwenezi wa BAVICHA anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mambo mbalimbali yanayoendelea ndani ya chama hicho huku akimlaumu mweneykiti wa Chama hicho kuwakandamiza baadhi ya viongozi wa chama hicho pamoja na matumizi ya Lugha ya matusi iliyopelekea wengi wao kukihama chama hicho na kuongeza kuwa Chama kimepoteza malengo.
Live hapa
Sent using Jamii Forums mobile app