Edward Simbeye ajiondoa CHADEMA, adai ni kampuni binafsi

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,312
EDWARD SIMBEYE aliyekuwa Katibu mwenezi wa BAVICHA anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mambo mbalimbali yanayoendelea ndani ya chama hicho huku akimlaumu mweneykiti wa Chama hicho kuwakandamiza baadhi ya viongozi wa chama hicho pamoja na matumizi ya Lugha ya matusi iliyopelekea wengi wao kukihama chama hicho na kuongeza kuwa Chama kimepoteza malengo.

Live hapa
 
Viongozi wengi wa Bavicha ni vibabu.....why?

Huyu alipaswa kuwa Jumuiya ya wazazi CCM!
CHADEMA wala wasihangaike kumjibu. Maneno hayo ya kuwa Chadema ni kampuni binafsi yametamkwa na Sumaye, Mwambe, Huyu Bavicha na wengineo. Wanaounga mkono kila awamu wanakuja na kashfa yao kama wamekaririshwa hivi...enzi za akina Gekul walikuwa na msemo wao kuwa Yote yaliyopiganiwa na Chadema Magufuli kayatekeleza.....na wa awamu hii wanakuja na slogan yao, Chadema kampuni ya mtu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wa BAVICHA ni John Pambalu anasaidiwa na makamu wenyeviti Moza Mushi (Bara) na Omar Nassoro Othman (Zanzibar).Katibu mkuu wa baraza hilo ni Nusrat Hanje na naibu katibu wakuu ni Yohana Kaunya (Bara) na Haji Abeid Haji (Zanzibar).
 
Bwashee, kwani Chadema ni mali ya nani?
 
Mwenyekiti wa BAVICHA ni John Pambalu anasaidiwa na makamu wenyeviti Moza Mushi (Bara) na Omar Nassoro Othman (Zanzibar).Katibu mkuu wa baraza hilo ni Nusrat Hanje na naibu katibu wakuu ni Yohana Kaunya (Bara) na Haji Abeid Haji (Zanzibar).
Huyo ni mchaga labda bavicha ya Moshi!
 
Mwenyekiti wa BAVICHA ni John Pambalu anasaidiwa na makamu wenyeviti Moza Mushi (Bara) na Omar Nassoro Othman (Zanzibar).Katibu mkuu wa baraza hilo ni Nusrat Hanje na naibu katibu wakuu ni Yohana Kaunya (Bara) na Haji Abeid Haji (Zanzibar).
Mtajuana huko huko, majeraha aliyotuachia Mbowe 2015 bado hayajapona pambaneni tu .
 
Vyema ni haki yake,
Maamuzi mazuri.
Na wengine waongezeke,
Tuone kama kutakuwa na aliyesalia kwenye vyama pinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu mnadhani chama cha siasa ni viongozi tu hamuweki kwenye mlinganyo wanachama wengine na washabiki!hao waruka ruka wengi wao wamerudi walipotoka toka so they real dont count in bigger picture as long as we know their real reason for the defection not the blah blah that id propagated

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom