MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,088
- 35,425
Kama kweli mko 'siriazi' basi acheni usanii, kipindi hiki cha kampeni sio wakati wa kufanya maigizo na kuyarusha 'laivu' kwenye luninga!
Acha watavuna walicho panda
Kama kweli mko 'siriazi' basi acheni usanii, kipindi hiki cha kampeni sio wakati wa kufanya maigizo na kuyarusha 'laivu' kwenye luninga!
Sasa kama mgombea Urais wao kasomea maigizo unataraji nini?
mkuu Tunahitaji watu wenye busara kama hizi zako watano tu tutasonga mbele.CCM hawatakiwi hata kufanya kampeni maana mambo mazuri waliyoyafanya ni kampeni tosha
Nashangaa jinsi wanavyohangaika
Ulifatilia lkn hukusikia alichokiongea toka mwanzo, alianza kwa kusema Leo sikusudii kutoa hotuba
Nahisi lowasa anatumika kuua upinzani.
Mbona mi pale ningeweza kupiga porojo?!
mkuu Tunahitaji watu wenye busara kama hizi zako watano tu tutasonga mbele.
cha msingi jumamosi tunataka lowasa apewe saa nzima ya kuhutubia pale jangwani. ili atupe sera na mipango mbalimbali iliyopo katika ilani ya ukawa. kitendo cha yeye kupewa muda mfupi hakifai...
katika moja ya hotuba za mbowe aliwah kusema hawawezi kumpokea bubu... leo nmeamin
Hawezi kuongea huyo mnalimzigo
ingekua kuongea ni utendaji masau bwile timuyake ingekuabingwa
Yaani wamepigwa surprise wanabaki kutoa povu jinsi mama Regina alivyojenga hoja kumsupport mme wake. Nimempenda sana huyu mama anajua kujieleza na yuko mbele kwenye mapambano sio mama Janet yeye hata ubavuni mwa mme wake haonekani
Cjaona cha maana hata kimoja alichowaambia, kaishia kuimba ti nselemaaa na kurudia hoja zaidi ya mara 2, Lowassa pumba kabisa. Eti wakamtafutie yye kura, unashindwa kuzunguka ufanye kampen unawatuma kina mama, pumbavu sana.
Nimuavyo Lowassa tangu enzi za ujana wake si muongeaji sana ila ni mtu wa vitendo zaidi. Na huwa akipania jambo lake kuwa halishindikani. Tukumbushane alipokuwa Waziri na Waziri Mkuu, huwezi kumkuta akiongea sana. Ni jembe la kazi tu hili.