Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Lowassa alikua muuza sura sindio

Mkutano ulimaanisha kumtambulisha "First Lady" wa mgombea wa CHADEMA. kwa vyovyote vile naye alipaswa kumtambulisha mumewe ambaye ndiye mgombea uraisi. Ndiyo maana Lowassa hakutoa hutoba yoyote ile zaidi ya salamu tu.
 
Kweli anamuigiza Magufuli naona anakumbuka Gurdoto Mwaka 2005 JK alipowapeleka.
 
Jamaa kichekesho sana.nimeacha gazeti langu kusoma kumbe nikapoteza muda.jamaa anawaomba wamtafutie kira alafu wakitane gurudoto wakajadiliane matatizo yao.kwa hiyo sasa hajui matatizo na pia hajitaji kisikia matatizo yao mpaka ashinde.kwa sababu Leo mama na Dada zetu wameingiza chao wakaishia kushangilia bila kujiuliza huyu MTU si mpumbavu na lofa?huyu ndo mwanasiasa duniani mwenye hotuba mbovu haijawahi kutokea.no wonder anatafuta huduma mitaani kwa maigizo.

Nakwambia lowassa analindwa na fuata upepo hana lolote
 
  • Thanks
Reactions: nao
mkutano wa kutoa sera zaidi ni jumamosi. tusubiri jumamosi
lowasa apewe angalau dk.45.
 
Labda nikuulize wewe.

Mimi ni Queen Esther. Uwanja wa kina mama ndio haswa unaonihusu. Nitafungua Uzi mwingine wa Madame Samia wakati ukifika. Kwa hapa zingatia kichwa cha habari tafadhali. Usitoke nje ya mada.

Queen Esther

Huna hoja zaidi ya Viroja ndio maana nimekwambia kamsikikilize samia na fix zake mabomba yatatoa maziwa , wenye maskio wamesikia kasema nn
 
Mkutano ulimaanisha kumtambulisha "First Lady" wa mgombea wa CHADEMA. kwa vyovyote vile naye alipaswa kumtambulisha mumewe ambaye ndiye mgombea uraisi. Ndiyo maana Lowassa hakutoa hutoba yoyote ile zaidi ya salamu tu.

Acha ujinga.mkutano ulimhusu Regina?kaharibu mnabadili mada?matangazo yalisemaje?
 
  • Thanks
Reactions: nao
Zile dk tano alizoongea alikuwa anasalimia? Pia Angalia mada na matangazo yote ya mkutano wa Leo ilihusu nini. Na nini kimefanyika. Fanya tathmini uniambie.

Unless yote yalikuwa ni MAIGIZO.

Queen Esther

nadhani dhamira yake ilikuwa ni kuomba kura na imetimia. naomba jumamosi lowasa apewe angalau saa moja adadavue ilani ya ukawa pale jangwani...
 
unajua mm sielewi jambo moja unapo zungumzia hakukata kiu yako unaana gan? hv kuna k2 chenye mashiko juu ya wanawake kama kilichopo ndan ya ktba ya warioba hata kama ulitaka aseme vyote vnavyowafuraisha bt kama akipo kwenye katiba is nothing wataweza kufaidika wachache bt kikiwa kwenye katiba mtafaidika wote na ndo falsafa ya ukawa ku bring back ktba ya warioba leo hata akiwa rais mpaka mawaziri wote wanawake c kwamba wanamke wa tanzania atakomboka na kujifungulia chini au jembe la mkono lakini ikiwekwa kwenye katiba zikajulikana haki na wajibu kila mtu atafaidika kuliko kusubl ahadi za uongo za wanasiasa

Hatuzungumzii katiba hapa lipi kazungunza lowassa la maana?
 
Hili ni jukwaa sahihi kwako kutupa summary ya alichoongea.

Maneno matupu hayavunji mfupa. Tusaidie ambao hatukuelewa tafadhali.

Queen Esther

Huna hoja zaidi ya Viroja ndio maana nimekwambia kamsikikilize samia na fix zake mabomba yatatoa maziwa , wenye maskio wamesikia kasema nn
 
Zile dk tano alizoongea alikuwa anasalimia? Pia Angalia mada na matangazo yote ya mkutano wa Leo ilihusu nini. Na nini kimefanyika. Fanya tathmini uniambie.

Unless yote yalikuwa ni MAIGIZO.

Queen Esther

Hawa wanajifanya kurukwa na akili hahag
 
Kiukweli kawaamgusha sana wanawake, yaani hajaongea cha maana hata kidogo na ni nje ya topic kabisa, zaidi ya kuwaomba kura! Kazi ipo kwa huyu ndugu.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Ulitaka ajibadili jinsia ili aongee na wanawake?
Acha ushabiki wa kijinga First Lady kamaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom