Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Mkutano ulimaanisha kumtambulisha "First Lady" wa mgombea wa CHADEMA. kwa vyovyote vile naye alipaswa kumtambulisha mumewe ambaye ndiye mgombea uraisi. Ndiyo maana Lowassa hakutoa hutoba yoyote ile zaidi ya salamu tu.

Ndivyo mlivyo tangaza? Mnapaswa kujua lowassa hasafishiki ni kirusi huyo
 
UMEELEZA VYEMA SANA NDG YANGU

TANGU LINI MHE. LOWASA ALIUNGA MKONO AGENDA YA KATIBA MPYA YA WARIOBA ILIYOKUWA IKIPIGANIWA NA UKAWA???

AU UMESAHAU NI NINI KIMEMKIMBIZA MHE. LIPUMBA???? TAFAKARI!!!

Queen Esther

unajua mm sielewi jambo moja unapo zungumzia hakukata kiu yako unaana gan? hv kuna k2 chenye mashiko juu ya wanawake kama kilichopo ndan ya ktba ya warioba hata kama ulitaka aseme vyote vnavyowafuraisha bt kama akipo kwenye katiba is nothing wataweza kufaidika wachache bt kikiwa kwenye katiba mtafaidika wote na ndo falsafa ya ukawa ku bring back ktba ya warioba leo hata akiwa rais mpaka mawaziri wote wanawake c kwamba wanamke wa tanzania atakomboka na kujifungulia chini au jembe la mkono lakini ikiwekwa kwenye katiba zikajulikana haki na wajibu kila mtu atafaidika kuliko kusubl ahadi za uongo za wanasiasa
 
Nadhani umemsikiliza mama Regina Lowasa alivyotoa hotuba ya changamoto za wanawake, Lowasa kamwachia mkewe ajimwage yeye kawapa kazi moja wanawake ya kumtafutia kura

Wanawake tayari wanae Rais wao Mama Samia, Ntashangaa kama Wanawake watapoteza nafasi adimu kama hii. Ni historia inaandikwa.
 
Wewe utakuwa huijui Katiba ya JMT. Wapi pameainishwa kazi za First Lady???

Madame Regina mwenyewe kasema namwachia mume wangu atoe kiu yenu. Mbona tumeondoka na kiu yetu????

Queen Esther

Alisema kwamba hayo mambo yako kwenye ilani.
Amesema pia baada ya uchaguzi watakutana Ngurdoto.
 
Kwa hiyo Yale matangazo yalikuwa ni MAIGIZOOOO????

Queen Esther

Mkutano ulimaanisha kumtambulisha "First Lady" wa mgombea wa CHADEMA. kwa vyovyote vile naye alipaswa kumtambulisha mumewe ambaye ndiye mgombea uraisi. Ndiyo maana Lowassa hakutoa hutoba yoyote ile zaidi ya salamu tu.
 
Kila mtu na maumbile yake.Kuna waongeaji wazuri na kuna wengine si waongeaji.Ni hulka ya.watu kuwa.tofauti.Lowassa aonekanavyo si muongeaji sana.Sijawahi msikia akiongea kama mwanasiasa hata alivhokuwa CCM so siwezi kumuhukumu kwa maumbile yake.
Hata wale ambao si waongeaji sana angalau atatoa point za msingi zinazohusiana na ajenda! No offense ila UKAWA mnayo kazi ya kufanya!
 
UMEELEZA VYEMA SANA NDG YANGU

TANGU LINI MHE. LOWASA ALIUNGA MKONO AGENDA YA KATIBA MPYA YA WARIOBA ILIYOKUWA IKIPIGANIWA NA UKAWA???

AU UMESAHAU NI NINI KIMEMKIMBIZA MHE. LIPUMBA???? TAFAKARI!!!

Queen Esther

Nacho tambua Mimi baada ya uchaguzi watajua nini kiliwakimbiza slaa na lipumba
 
Heshima kwenu wana JF.

Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.

Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"

Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.

Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!

Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther

Nilipoona kichwa cha habari nikavutiwa kusoma nikijiua yatakuwa maoni ya mtu asiyeegamia upande wowote. Kumbe ni walewale! Nasikitikia muda wangu niliopoyeza kusoma na hata kutoa maoni.
 
Yaani wewe hata kuusikiliza hukusikiliza,mkutano ulikuwa ni kwa mama Regina,wacha kujitoa akili

Yaani wamepigwa surprise wanabaki kutoa povu jinsi mama Regina alivyojenga hoja kumsupport mme wake. Nimempenda sana huyu mama anajua kujieleza na yuko mbele kwenye mapambano sio mama Janet yeye hata ubavuni mwa mme wake haonekani
 
Back
Top Bottom