Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,634
- 3,941
KWANZA HUO U Queen Nani Alikupa? Unaonekana Lowasa Wakati Anatoa Mambo Mazito Ulikuwa Umwaza Bwana Wako Nyumbani, Na Ndo Maana Umeshindwa Kuelewa.
Tatizo mgombea asiyejua kuongea atanadi vipi ilani ya chama chake, tamaa za mbowe zimeiingiza chaka chademakatika moja ya hotuba za mbowe aliwah kusema hawawezi kumpokea bubu... leo nmeamin
Jitahidi kuwa GT hata Kama ni kwa maigizo.
Queen Esther
Kila mtu na maumbile yake.Kuna waongeaji wazuri na kuna wengine si waongeaji.Ni hulka ya.watu kuwa.tofauti.Lowassa aonekanavyo si muongeaji sana.Sijawahi msikia akiongea kama mwanasiasa hata alivhokuwa CCM so siwezi kumuhukumu kwa maumbile yake.
Hivi CCM mnapata muda gani kufanya kampeni kwa ajili ya Mgombea wenu?
Heshima kwenu wana JF.
Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.
Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"
Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.
Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!
Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.
Naomba kuwasilisha.
Queen Esther
WATANZANIA tunataka Mabadiliko SIO Maneno jukwaani queen
Nadhani umemsikiliza mama Regina Lowasa alivyotoa hotuba ya changamoto za wanawake, Lowasa kamwachia mkewe ajimwage yeye kawapa kazi moja wanawake ya kumtafutia kura
Wanapoteza muda, Mama Regina anamuembea kura Mumewe angepaswa kuongea Mumewe sio Mama Regina. Ni sawa na Mume wa Mama Samia kumuombea Kura Samia kwa kina Baba inachekesha?
Wanapoteza muda, Mama Regina anamuembea kura Mumewe angepaswa kuongea Mumewe sio Mama Regina. Ni sawa na Mume wa Mama Samia kumuombea Kura Samia kwa kina Baba inachekesha?