Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Nimepoteza muda wangu kufatilia kwa makini Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium, ili nisikie Mhe Lowassa amewaandalia nini Wake na Mademu zetu.
Ila nimeshangazwa na hutuba yake, ambayo haikubabadua chochote cha kuwabadilishia awa viumbe!
Aisee UKAWA jipangeni, mgombea wenu hawezi kumiliki jukwaa, kusema ukweli!!

CCM tangulini imkamsifia Lowassa au UKAWA?
 
Kila mtu na maumbile yake.Kuna waongeaji wazuri na kuna wengine si waongeaji.Ni hulka ya.watu kuwa.tofauti.Lowassa aonekanavyo si muongeaji sana.Sijawahi msikia akiongea kama mwanasiasa hata alivhokuwa CCM so siwezi kumuhukumu kwa maumbile yake.

ha ha ha haaaa naona mnakata tamaa mapema bado hajakimbia mdahalo, kwan ameomba urais si anajua n kaz ya kisiasa au alijua ukatibu mkuu kiongoz?
 
Manosa mpendwa wangu.

Huu Wimbo Mhe. Magufuli amekuwa akiuimba tangu akiwa Mbunge. Rudisha nyuma kidogo kumbukumbu zako, zisianzie kuchukua fomu za urais.

Queen Esther

Umefungua uzi mpya huku? Original version ya huo wimbo ulikua arusha wakati lowasa anaanza kampeni za kuchaguliwa ccm
 
Nimepoteza muda wangu kufatilia kwa makini Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium, ili nisikie Mhe Lowassa amewaandalia nini Wake na Mademu zetu.
Ila nimeshangazwa na hutuba yake, ambayo haikubabadua chochote cha kuwabadilishia awa viumbe!
Aisee UKAWA jipangeni, mgombea wenu hawezi kumiliki jukwaa, kusema ukweli!!

Tulia hilan ni jangwani
 
Wewe utakuwa huijui Katiba ya JMT. Wapi pameainishwa kazi za First Lady???

Madame Regina mwenyewe kasema namwachia mume wangu atoe kiu yenu. Mbona tumeondoka na kiu yetu????

Queen Esther

Nadhani bado uko nyuma sana, hapo yupi kwenye ushawishi ili mme wake apate kura za akina mama. Firstlady ana nafasi kubwa na ni supporter mkubwa wa raisi katika kupata kura. Rejea kampeni ya Barack Obama jinsi Michelle Obama alivyofanya kazi
 
"Mods msiunganishe wapendwa wangu, hii ni topic tofauti kabisa tafadhali"


Heshima kwenu wana JF.

Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAVICHA na kubaini jambo moja kubwa sana.

Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"

Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.

Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!

Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther

Ulifatilia lkn hukusikia alichokiongea toka mwanzo, alianza kwa kusema Leo sikusudii kutoa hotuba
 
Aliyekudanganya alinselema ni wimbo wa magufuli nani? Huo ni wimbo wa mchakamchaka JKT tangu kitambo. Kwa kukusaidia tu leo Lowassa alikuwa anatambulishwa rasmi BAWACHA.
 
Kama ulikuwa unamsikiliza vizuri, alisema kwamba leo hatoi hotuba bali anakupeni kazi nyie wanawake ya kumtafutia kura. Usiwe na mahaba ya kupitiliza.
 
Wenye akili timamu wameelewa,isitoshe First Lady mama Regina Lowassa amemaliza kila kitu!
 
mleta uzi labda tukurekebishe kwamba siyo BAVICHA bali ni BAWACHA hivyo kwa hili unaonekana hata haujui unachokiongea.
 
Back
Top Bottom