Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

tunaomba viongozi wa ukawa jumamosi lowasa apewe saa nzima ili ajimwage pale jangwani.ili huu utata wa watu wanaoamini kwamba lowasa sio muongeaji upewe majibu sahihi...
 
Yaani wamepigwa surprise wanabaki kutoa povu jinsi mama Regina alivyojenga hoja kumsupport mme wake. Nimempenda sana huyu mama anajua kujieleza na yuko mbele kwenye mapambano sio mama Janet yeye hata ubavuni mwa mme wake haonekani

Aah halipo hilo
 
Mama samia yupi anayepita kuomba kura au samia mwingine?

Wanapoteza muda, Mama Regina anamuembea kura Mumewe angepaswa kuongea Mumewe sio Mama Regina. Ni sawa na Mume wa Mama Samia kumuombea Kura Samia kwa kina Baba inachekesha?
 
Hivi CCM mnapata muda gani kufanya kampeni kwa ajili ya Mgombea wenu?
 
Yaani wamepigwa surprise wanabaki kutoa povu jinsi mama Regina alivyojenga hoja kumsupport mme wake. Nimempenda sana huyu mama anajua kujieleza na yuko mbele kwenye mapambano sio mama Janet yeye hata ubavuni mwa mme wake haonekani

Kweli mkuu ma ccm yamepigwa na butwaa na midomo ipo waazi sasa
 
We kweli hamnazo
Lowasa hajawaita wakina mama Bali yy ndie aliyealikwa.sasa ulitaka yy aseme nn hapo.

Acha mahaba wewe, sasa kama alialikwa kwa nini kauli mbiu ya mkutano inasema, LOWASSA NA HATMA YA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA.
Nina uhakika Mdee kawa very disappointed!!
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hatuhitaji mtu anayeongea walikuwa wanaongea ndio wamefikisha hii nchi ilipo tuna raslimali za kutosha lakini maskini.
 
Back
Top Bottom