Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Heshima kwenu wana JF.

Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.

Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"

Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.

Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!

Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther

Pole dada ila si unajua mgombea wenu hawezi kuongea we subiri vitendo tu
 
Muda wa kampeni ni mfupi, why wiki nzima inapotea kwenye daladala na masokoni? Kuna tatizo gani?
 
Waambieni waache usanii, kama siasa hawawezi, wapewe hizo nafasi watu wengine.
 
Ameongea Dk Zisizozidi 8! Akaishia Kuimbisha Wimbo Badala Ya Kueleza Sera
 
Waambie wazime kwako tuu! Watu tunamambo yetu!!
@ uliyeomba jumamoc tanesco wakate umeme!
 
Watanzania tushazoe kudanganywa kwa kuwa hajakuambia nitakuletea maisha bora kwa kila mtanzania umemuona hafai???

Basi we mpe kura yule anayesema "sitawaangusha "
 
cha msingi jumamosi tunataka lowasa apewe saa nzima ya kuhutubia pale jangwani. ili atupe sera na mipango mbalimbali iliyopo katika ilani ya ukawa. kitendo cha yeye kupewa muda mfupi hakifai...
 
Ccm mnatapatapa...mlitegemea ukumbi ungekuwa mweupe sasa mmeona mafuriko, mdee ni jembe....hao ndo malofa wanahitaji mabadiriko...njoo jumamos jangwani ili usije danganywa na mkulu eti ni picha za kuunga...
 
Relax. Kila kinachofanyika ni part of strategy. Subiri mziki wake kampeni zikianza. Utakuja hapa kusema, "Jamani Ukawa, inatosha".

Kwa sasa tulia dawa ikuingie taratiiiibu.
 
hata mid sijaona jipya nilikuwa kwenye mkutano imetuumiza sana wanawake hakuna alichosema kiafya piya siyo nzuri mungu muweke pema lowasa sijui kwanini anachezeya afya Yake.mizimu ya nyerere inamtafuna .ewe mungu tulinde tz.
 
CCM hawatakiwi hata kufanya kampeni maana mambo mazuri waliyoyafanya ni kampeni tosha
Nashangaa jinsi wanavyohangaika
 
Back
Top Bottom