Jang Bo Go
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 854
- 253
Ni rahisi zaidi Twiga kupanda ndege kuliko Lowasa kuwa Rais.
Mmmmh jamani pamoja kuwa mi ni ukawa damdam ila leo nimekuwa disappointed. Kwa nini chadema wamefanye mkutano then wasiseme chochote!? Bad bad bad
Acha kupanic. Umeambiwa ukweli kabisa
'sitawaangusha' pipoooooz....... pipoooooz! 'mchaka mchaka'
Too much is harmful![/QUO
Malofa huwa kawaida yao kufanya maigizo, daaaah mbona nyie mnapata shida saaana na kutumia nguvu nyingi kuzuia maigizo yaaacheni yaendelee muone cha moto
Tumefanikiwa. Tulitaka mumjadili Lowassa badala ya yule sitawaangusha.Cjaona cha maana hata kimoja alichowaambia, kaishia kuimba ti nselemaaa na kurudia hoja zaidi ya mara 2, Lowassa pumb la kabisa. Eti wakamtafutie yye kura, unashindwa kuzunguka ufanye kampen unawatuma kina mama, pumbavu sana.
Jibu lako hili hapoHeshima kwenu wana JF.
Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.
Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"
Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.
Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!
Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.
Naomba kuwasilisha.
Queen Esther
Wale mapopoma mnaohoji kwanini Lowassa hajaongea chochote ni kwamba ule ni mkutano wa akina mama.
Na pale amealikwa kama mgeni rasmi na kusikiliza matatizo na changamoto zinazowapata akina mama katika suala zima na afya, maendeleo na elimu pia.
Ndio maana kasema kwamba matatizo yetu ameyasikia, na yatakuwepo katika ilani.
Pia alisema pale hajaenda kutoa hotuba bali kusikiliza vilio vya akina mama.
Mnataka nini? Halafu wengi mnaohoji hilo ni wanaume!
Mimi kama mwanamke nasema ASANTE SANA LOWASA.
NINA MATUMAINI NA WEWE...
KURA YANGU NA FAMILIA YANGU NI YAKO NA NAKUAHIDI KUKUTAFUTIA KURA KAMA ULIVYOTUOMBA.
mkuu usiwe na haraka kama mkojo wa asubuhi, subiri jumamosi tar. 29 utazijua mbivu na mbichi. Leo walioalikwa tu na kutambulishwa kwa wanawake. Au ulitaka waige wanachofanya maccm ?
Acha hiyo 85 Jana, mm 77 national service nimekuta alinselema. Huyu queen zero kaahidiwa ukuu WA wilaya labda.