crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,860
- 2,957
Hii slogan ya "sauti ya wengi ni sauti ya Mungu" inaweza kumtia hasira Mungu. Hebu tuachane nayo wapenda mabadiliko. Mungu hategemei wingi wa watu kuufanya maamuzi yake.
Kweli. Mungu hayuko Ukawa na wala hayuko CCM. Wanasiasa jiuzeni majukwaani na midahalo mufanye muwasaidie ma-undecided kufanya maamuzi. Hawa ndio wanaamua chaguzi duniani kote.
Again, Mwacheni mola pembeni....