Edward Lowassa aumbuka Arumeru Mashariki

Edward Lowassa aumbuka Arumeru Mashariki

Wajameni tuwe wakweli toka ndani ya nafsi zetu, kama issue ni rushwa, kwa CCM, its order of the day!. CCM kwa upande wa rushwa imeoza juu mpaka chini na ndani mpaka kwenye kiini, hivyo hayo yanayoendelea ni harufu tuu ya uvundo wa rushwa, rushwa yenyewe halisi, CCM ndio nyumbani kwake!.

Naendelea kusimama na EL ateuliwe kuwa mgombea wa CCM, rais atoke Kaskazini tupate ukombozi wa kweli wa Mtanzania!.
Hapo kwenye RED ndipo watu wengi humu huwa wanakutilia mashaka, kama swala ni mtu wa kaskazini kuwa Rais, hakuna hata mmoja mwenye sifa zaidi ya Dr Wilbroad Slaa, kwahiyo basi kama shida yako ni mtu wa kaskazini kuwa Rais nakuomba rasmi kuanzia sasa uanze kumfanyia kampeni shujaa wetu Dr Slaa. CCM ni chama ambacho kimeshakufa hakina tena uhalali wa kuendelea kuitawala Tanzania, miaka 50 waliyopewa sasa imetosha.
 
Sioni Lowassa anahusika vipi na hizo tuhuma za rushwa, acheni kumchafua mzee wa watu amejing'atua ametulia bado mnamfuata fuata!
 
Pasco,
Sioi anapita? Ma-AntiLowasa wamemkalia vibaya huyu kijana kwa "dhambi" ya kuoa bintiLowasa!
Kadri wanavyotumia nguvu kubwa kumpinga ndivyo wanavyompa promo ya more compassionate votes na akipigwa chini, CCM inakufa kifo cha mende kwa mgombea wa Chadema kujizokea kura za chuki dhidi ya dhambi ya ubaguzi CCM inayotaka kuifanya Arumeru!.
 
Dada yake Sion atakwenda CHADEMA tena? kutafuta Maslahi? kama Mwaka 2010? inaonyesha hiyo familia inaupenda Ubunge na Umaarufu... Dada Mwingine alikuwa Miss World Africa...

Kazi ipo... Lowassa Lazima atahojiwa Askofu mzima yuko Jela, kweli ni hatari siku za CCM zinahesabika, na yeye viongozi wa dini wataanza kumkimbia anakwenda kila sherehe za dini ili awaweke hao viongozi LUPANGO??
 
Hapo kwenye RED ndipo watu wengi humu huwa wanakutilia mashaka, kama swala ni mtu wa kaskazini kuwa Rais, hakuna hata mmoja mwenye sifa zaidi ya Dr Wilbroad Slaa, kwahiyo basi kama shida yako ni mtu wa kaskazini kuwa Rais nakuomba rasmi kuanzia sasa uanze kumfanyia kampeni shujaa wetu Dr Slaa. CCM ni chama ambacho kimeshakufa hakina tena uhalali wa kuendelea kuitawala Tanzania, miaka 50 waliyopewa sasa imetosha.

Unataka Slaa apewe kwa ukaskazini wake au uwezo wake??
 
Hapo kwenye RED ndipo watu wengi humu huwa wanakutilia mashaka, kama swala ni mtu wa kaskazini kuwa Rais, hakuna hata mmoja mwenye sifa zaidi ya Dr Wilbroad Slaa, kwahiyo basi kama shida yako ni mtu wa kaskazini kuwa Rais nakuomba rasmi kuanzia sasa uanze kumfanyia kampeni shujaa wetu Dr Slaa. CCM ni chama ambacho kimeshakufa hakina tena uhalali wa kuendelea kuitawala Tanzania, miaka 50 waliyopewa sasa imetosha.
Mkuu Matola nilidhani na wewe ni great thinker humu jf?!. Can't you read in btn the lines?!.
 
Kadri wanavyotumia nguvu kubwa kumpinga ndivyo wanavyompa promo ya more compassionate votes na akipigwa chini, CCM inakufa kifo cha mende kwa mgombea wa Chadema kujizokea kura za chuki dhidi ya dhambi ya ubaguzi CCM inayotaka kuifanya Arumeru!.
Pasco hebu twende taratibu, hakuna mtu yeyote makini anaesubili mpaka CCM wambwage mgombea fulani ndio waipigie kura CHADEMA, hapana hapo umepotoka, Watanzania tumeshakata shauri kwa sasa hakuna chama tunachokiamini zaidi ya CHADEMA. Period.
 
hahahaha.. kwa kweli nimeamini na sasa namkubali lowassa fuluu. yaani akiwekwa tu, lazima ukute page 5-10. kweli jamaa ni tishio kubwa sana, sio bure huyo rais/mwenyekiti wa chama anakosa usingizi akimfikiria lowassa. humu ndani nimeshaona watu wengi sana wanamkubali, nilitegemea leo mngechambua hotuba ya jana ya rais. lakini naona mmeanza unafiki wa msg zimekutwa. izo message ziko wapi. kama kweli wangeanika, ni fikra za mtu tu.hamna jipya

mi nilitegemea nitakuta labda hoja ya mgombea wa chadema arumeru, au jinsi mbowe alivyokusanya hela kumfanikisha ashinde.

ivi kweli kwa mtu kama lowassa ataweza kukaa na kuchat aagize watu wakachukue hela. lazima anawatendaji wengi tu wa kufanya ivyo. acheni zengwe

Kweli nimeamini jina Jina lako CHIZI1 linaendana na hii Thready yako! Bado unautamaduni wa kusikiliaza taarabu na mipasho ya kila mwisho wa mwezi wa huyo jamaa yako?
 
Askofu anayezungumziwa kukamatwa si wa kanisani ni askofu mfanya biashara wa mawe kwa hiyo askofu ni jina tu,hata Mathias ni mfanyabiashara wa mawe pia.

Atakuwa Askofu wa mererani yule waliyetaka kumfilisi kipindi cha Mrema.
Kama hao watu na wengineo kama ni kweli wako nyuma ya EL basi sishangazwi na pesa anazomwaga, hao watu iko na faranga.
 
Tumechoshwa na Porojo za CCM, ukitaka kufanya maamuzi magumu Jifunze hapa:

Malema expelled from ANC

Sapa | 29 February, 2012 22:09
10-02-2012-16-02-00-673mdf25944.jpg
Suspended ANC Youth League President Julius Malema.
Image by: SIPHIWE SIBEKO / Reuters

Save & Share

ANC Youth League president Julius Malema has been expelled from the ANC, the party's national disciplinary committee (NDC) chairman Derek Hanekom said on Wednesday evening.

"Cde Julius Malema is expelled from the ANC," the NDC said in a statement.
Malema could appeal this sanction within 14 days.
Youth league secretary general Sindiso Magaqa's membership was suspended for three years. This sanction was suspended for three years, but would kick in if he was found guilty of misconduct in terms of the ANC constitution during the period of suspension.
League spokesman Floyd Shivambu's membership was suspended for three years.
"This sanction is applicable to cde Shivambu's membership of the ANC Youth League. Consequently, he shall vacate his position as a member of the national executive committee of the ANC Youth League."
He could also appeal the sanction within 14 days.

Reply Reply With Quote

Kadri wanavyotumia nguvu kubwa kumpinga ndivyo wanavyompa promo ya more compassionate votes na akipigwa chini, CCM inakufa kifo cha mende kwa mgombea wa Chadema kujizokea kura za chuki dhidi ya dhambi ya ubaguzi CCM inayotaka kuifanya Arumeru!.

Sitatarajii kutoka kwako uwe na pointi ambayo itanishawishi juu ya El.

Je nikweli EL Ni msafi kama mvi ZAKE?

Je ni kweli tunaitaji Mtu mwenye tuhuma lukuki za ufisdi apitishwe na CCM?

Naanza kuutilia shaka uwezo wako wa kufikiri.

Naomba ukaoge ndo urudi humu.
 
Pasco hebu twende taratibu, hakuna mtu yeyote makini anaesubili mpaka CCM wambwage mgombea fulani ndio waipigie kura CHADEMA, hapana hapo umepotoka, Watanzania tumeshakata shauri kwa sasa hakuna chama tunachokiamini zaidi ya CHADEMA. Period.
Mh! Sidhani. Hauna "mandate" ya kutusemea WATANZANIA woote. Halafu, AruMeru wana vigezo vyao kwenye mambo haya ya kuchaguana. Chama gani mgombea anatoka sio mojawapo ya vigezo hivo.
 
Askofu mwenyewe siku hizi kachoka kichizi si yule wazamani akimwaga fedha kama njugu Pallson Hotel.

Atakuwa Askofu wa mererani yule waliyetaka kumfilisi kipindi cha Mrema.
Kama hao watu na wengineo kama ni kweli wako nyuma ya EL basi sishangazwi na pesa anazomwaga, hao watu iko na faranga.
 
Dada yake Sion atakwenda CHADEMA tena? kutafuta Maslahi? kama Mwaka 2010? inaonyesha hiyo familia inaupenda Ubunge na Umaarufu... Dada Mwingine alikuwa Miss World Africa...

Kazi ipo... Lowassa Lazima atahojiwa Askofu mzima yuko Jela, kweli ni hatari siku za CCM zinahesabika, na yeye viongozi wa dini wataanza kumkimbia anakwenda kila sherehe za dini ili awaweke hao viongozi LUPANGO??

Kuna mfanya biahsara wa mawe anajiita Askofu (mwenye Pallson hotel) tusichanganye mambo

Rafiki zangu wa karibu sana Mheshimiwa Pasco & Matola,

Niliwaambia Lowassa alishapotezwa siku nyingi wakanibishia sijui mpaka leo na baada ya kusoma kisa hiki bado wana amini Lowassa is next President ?.

Kitendo cha Lowassa kumuumbua Mwenyekiti wake ndani ya kikao cha Halmashauri kuu ya taifa kwamba alijua kila kitu katika ule mradi tata wa RICHMOND & DOWANS na kwamba alipelekewa jina la Rostam Aziz na kulikubali wakati mwenyekiti alishajitetea hamjui mmliki wa RICHMOND & DOWANS alikuwa akitengeneza jeneza lake kwa mikono yake mwenyewe.Lowassa alikwenda mbali sana alipohakikisha mazungumzo yake yanawafikia wahariri wa magazeti kupitia simu za kiganjani ndani ya kikao cha Halmashauri kuu !.

JK alinyamaza lakini kumbe bado wanaviziana...

Naona takukuru ni mojawapo ya marungu ya JK yaliyobaki?

Ngoja nimsubiri Pasco hapa.
 
Nilishasema, hakuna uchaguzi unaowashirikisha wanaCCM wasihonge. Na huu ni uchaguzi wa wao kwa wao. Vipi ule wa kupambana na wapinzani!?
 
Back
Top Bottom