TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,185
- 18,201
Mtakufa kwa BP nyie na chuki zenu dhidi ya EL.Naona hamumjui EL
kumbe!!!!
Mtakufa kwa BP nyie na chuki zenu dhidi ya EL.Naona hamumjui EL
mathias manga ni diwani wa mlangarini .el.ni mbunge monduli takukuru fuatilieni kwa karibu mtagundua mengi ndani ya wahusikausijitoe akili kiasi hicho, bakisha angalau za kuchambia.
hii nchi utasema ni kaole sanaa group...sasa....
Iwapo yaliyosemwa ni kweli basi hali ya nchi ni tete. Askofu gani huyu anayetajwa? Kwa nini wasiwakamate watoa fedha sawa na wasambaza fedha? Hawa takukuru ni genge jingine la uhalifu nchini. Sina imani nao hata kidogo kwani baada ya mida mtasikia waliokamatwa wameachiliwa kwa uchunguzi au ushahidi wa takukuru haujitoshelezi. Wizi mtupi!
Rafiki zangu wa karibu sana Mheshimiwa Pasco & Matola,
Niliwaambia Lowassa alishapotezwa siku nyingi wakanibishia sijui mpaka leo na baada ya kusoma kisa hiki bado wana amini Lowassa is next President ?.
Kitendo cha Lowassa kumuumbua Mwenyekiti wake ndani ya kikao cha Halmashauri kuu ya taifa kwamba alijua kila kitu katika ule mradi tata wa RICHMOND & DOWANS na kwamba alipelekewa jina la Rostam Aziz na kulikubali wakati mwenyekiti alishajitetea hamjui mmliki wa RICHMOND & DOWANS alikuwa akitengeneza jeneza lake kwa mikono yake mwenyewe.Lowassa alikwenda mbali sana alipohakikisha mazungumzo yake yanawafikia wahariri wa magazeti kupitia simu za kiganjani ndani ya kikao cha Halmashauri kuu !.
Mimi naona hii ni thread ya promo tu kwa maggamba... ili badae ionekani aliyebaki ni msafi!!!
ukiona wezi wanaliana timing, funga milango, weka makufuli kaa macho na panga, wakipatana utakoma!!!
Hakuna dini inayohubiri Umaskini!!Mkuu kwanza maaskofu na viongozi wote wa madhehebu ya kiroho waliokubali kuchambiwa na lowasa wanapaswa kuwajibishwa na waumini wao. Ni ujinga kuendelea kulamba wachafu miguu ili kupata pesa zao hata kama ni kwa njia zosozohalali. Hivi kwa nini hawa viongozi wa kiroho hawakatai pesa zinazonuka? Mbona Roma Catholic wanamuendekeza huyu bwana wao? KKKT na makanisa-uchwara yamekubali kuzini na wafalme wa dunia hii, ole wao nasema. hawa ndio wanaotupoteza sisi waumini, na tusipoangalia mambo haya kwa jicho makini, ya Rwanda yatajirudia hapa.
hakuna mwenye huo ujasiri bado wa kumshika EL.
Usiwe kama huwajui takukuru na usanii wa serikali ya Tanzania.Naam sasa kweli serikali ya jk imeamua kama noma na iwe noma,huyu alitaka kujifanya yeye ni mkubwa kuliko chama na serikali yake..kitu kingine inaonekana lowassa mambo mengi ya kimkakati alikua akimtegemea sana rostam aziz maana tokea rostam aziz ajiweke kando na siasa lowassa strategy zake mwenyewe karibu zote zimekuwa zikisambaratishwa mapema kabla hazijaanza..
Hongera takukuru arusha kwa utumishi uliotukuka na utii kwa amiri jeshi mkuu,mmeyashinda majaribu mkaitanguliza nchi,mzee manumba si mbaya ukichota busara hizi za takukuru arusha.
Mwakalebela ashinda kesi ya rushwa, aula Shirika la Makumbusho
Fredrick Mwakalebela aliyewahi kuwa katibumkuu wa TFF na Mgombea ubunge wa Iringa mjini (CCM) kabla hajawekewa mizengweya rushwa, amepata kazi shirika la makumbusho ya Taifa (National museum ofTanzania) kuwa AFISA UTUMISHI NA UTAWALA MKUU, ama kweli kama wasemavyowaungwana Mungu akifunga mlango moja hufungua mlango mwingine cha muhimu nikutokukata tamaa. kila la kheri Mwakalebela katika majukumu yako mapya.
Source: Mwananchi
Ngongo,Rafiki zangu wa karibu sana Mheshimiwa Pasco & Matola,
Niliwaambia Lowassa alishapotezwa siku nyingi wakanibishia sijui mpaka leo na baada ya kusoma kisa hiki bado wana amini Lowassa is next President ?.
Kitendo cha Lowassa kumuumbua Mwenyekiti wake ndani ya kikao cha Halmashauri kuu ya taifa kwamba alijua kila kitu katika ule mradi tata wa RICHMOND & DOWANS na kwamba alipelekewa jina la Rostam Aziz na kulikubali wakati mwenyekiti alishajitetea hamjui mmliki wa RICHMOND & DOWANS alikuwa akitengeneza jeneza lake kwa mikono yake mwenyewe.Lowassa alikwenda mbali sana alipohakikisha mazungumzo yake yanawafikia wahariri wa magazeti kupitia simu za kiganjani ndani ya kikao cha Halmashauri kuu !.
Usianze kuhukumu sio kila aitwaye doctor ni doctor kweli. Hali kadhalika professor wote sio ma professor kweli. Huyu ni kijana mchimba madini aliyejipatia fedha zake pale mererani ndo vijana wa hawa wakubwa anaitwa Askofu. Alinunua jengo pale Arusha linaitwa Pallsons Hotel. Sumaye naye anaye wake anaitwa Sunda anamiliki Mount Meru! Akina Kinana na BWMMkuu kwanza maaskofu na viongozi wote wa madhehebu ya kiroho waliokubali kuchambiwa na lowasa wanapaswa kuwajibishwa na waumini wao. Ni ujinga kuendelea kulamba wachafu miguu ili kupata pesa zao hata kama ni kwa njia zosozohalali. Hivi kwa nini hawa viongozi wa kiroho hawakatai pesa zinazonuka? Mbona Roma Catholic wanamuendekeza huyu bwana wao? KKKT na makanisa-uchwara yamekubali kuzini na wafalme wa dunia hii, ole wao nasema. hawa ndio wanaotupoteza sisi waumini, na tusipoangalia mambo haya kwa jicho makini, ya Rwanda yatajirudia hapa.