Edward Lowassa aumbuka Arumeru Mashariki

Inawezekana wakati J. Kikwete anakuwa rais aliingia kwa njia hzo lakin hapakuwa na sheria ambayo ingesaid4a yeye kuwa Rais pasipo rushwa! Lakin uwenda hakukuwa na njia nayeye hakupenda amekuwa rais anataka kujenga msing bora usio kuwa unaleta viongoz kwa njia ya kifisadi. So Kikwete ni msafi na mwisho wa yote ataleta haki ktk kumpata Rais 2015.
My God ewe mwenyezi mungu muhurumie mtu huyu, Hivi wewe unaamini Riziwan Kikwete ambaye amemaliza chuo kikuu juzi tu awe Billionea!! hujui kama tunaibiwa na pesa zinakwenda kwa Ridhiwan? Misingi bora angeanzia nyumbani kwake kwanza kama alivyofanya Nyerere, hakuna mtoto wa Nyerere alietumia ikulu kukwapuwa mapesa ya Wadanganyika.
 
Ccm wooooooooooooooooote wananuka rushwa hakuna msafi na hakutakuja kuwa na msafi, hakuna ambae hakutoa rushwa ila tatizo wanazidiana,

woooooooooooooote wamepungukiwa usafi, ni wachafu wakutupa.
 
Hiyo kauli ilitolewa na Makamba kwamba hakuna mgombea ambaye hakuonga, bali walizidiana dau. huwa nasikitika sana mpaka leo nikiona mtu mwenye access ya kutumia internet na bado hajitambui na anaingizwa mkenge na CCM eti inakemea rushwa!!
Huwa nakata tamaa sana nikiona kwa watu wenye uelewa ambao wapo humu na bado wamelewa ghiliba za CCM!! kweli kuikombowa nchi ni ngumu sana.
 
Inawezekana wakati J. Kikwete anakuwa rais aliingia kwa njia hzo lakin hapakuwa na sheria ambayo ingesaid4a yeye kuwa Rais pasipo rushwa! Lakin uwenda hakukuwa na njia nayeye hakupenda amekuwa rais anataka kujenga msing bora usio kuwa unaleta viongoz kwa njia ya kifisadi. So Kikwete ni msafi na mwisho wa yote ataleta haki ktk kumpata Rais 2015.
Kuna mawazo mengine unashindwa hata kuamini....kwa hiyo unataka kutuambia kulikuwa na sheria iliyomsaidia Kikwete kuingia kwa rushwa, LOL! i cant believe hii imetoka kwa great thinker naanza kuamini kumbe kweli ritz ni great thinker wa Chichilla.
 
Rushwa ya uchaguzi ndio chanzo kikubwa cha matatizo ya watanzania. Hakuna rushwa ndogo wala kubwa zote ni "manzi ga nyanza".Baadhi ya wanaJF wamekuwa na maoni tofauti na mengine yamelenga katika hoja ya kuhisi labda waliokamatwa wameonewa ama chuki binafsi. Whatever the case will be katika hisia, lakini kama kweli wameshiriki na ushahidi upo, hatuna sababu ya kutetea eti kisa mbona fulani ajakamatwa.

Uchaguzi wa rushwa umekuwa ukiwaweka madarakani wenye nacho na masikini/wazalendo wenye nia ya kuwatumikia Watanzania kukosa nafasi hiyo (awe CDM,CUF ama CCM). Wakubwa hawa wanaotusumbua huku juu kwa scandal mbali mabali za kifisadi huanzia hapa (Wanasiasa-Uchaguzi). Iwapo CCM imejitoa kuanza na hili katika chaguzi zake na zinginezo, nadhani busara kwa wazalendo kuunga mkono jitihada hizi maake athari yake si kwa CCM tu ata kwa Wagombea wengine wa upinzani (anaweza akawa na uwezo lakini akashindwa kupita kwa sababu ya Rushwa).

Binafsi naunga mkono mapambano haya na yaendelee kwa kasi mpaka wezi hawa wa haki za wananchi katika chaguzi tuwatokomeze.Ifikie hatua uwezo wa mtu uumpe madaraka na sio "vijicenti". Pia watanzania ambao wako tayari kupokea ebu tuwe wazalendo basi, tukikataa hawawezi kutoa hawa.
 
Watu wa Lowassa mtauma na kusaga meno mwaka huu, ule mpango wenu kuchukua nchi hautafanikiwa maana sasa hivi hata Chadema kuna mapandikizi wa Lowassa. Vita ya kisiasa nchini imegeuka kuwa baina ya Lowassa na JK hata ndani ya vyama, tunajua vizuri sana. - MIAFRKA NDIVYO TULIVYO...

Mkandara neno zito sana hili, ila/but/lakini;

1. unaona kweli kila aliye JF anayempenda Lowassa ni mtu wa Lowassa?? yaani ule utashi wa binadamu wa kumpenda huyu na kumchukia huyu hauko tena?

2. Unaamini kweli kabisa JK na EL ni maadui?? hauoni kuwa kuan uwezekano mkubwa sanaa fulani inafanyika hapa?

kumbuka mkuu wa tume ya uchaguzi ni shemeji wa Lowassa, kumbuka pia mahusiano ya Rostam na JK ni mazuri sana kwa sasa kuliko hapo awali! kumbuka pia urafiki wa Rostam na Lowassa ni dhahiri!

naona kuna sanaa fulani na Taifa lijitayarishe kwa unbelievable movie, kumbuka JK ili awe salama lazima amweke mtu ikulu, mwenye nguvu hiyo ni Rostam na Lowassa, Rostam kama Mtanzania, mwarabu na Rostam kama CIA!

In other words tukiingia ndani zaidi Kikwete kwekwa pale na wamarekani piga ua atakayekuja atawekwa na hao hao wamarekani ambapo Kikwete hatakuwa na ubavu wa kumfanya lolote
 
Rushwa ya uchaguzi ndio chanzo kikubwa cha matatizo ya watanzania. Hakuna rushwa ndogo wala kubwa zote ni "manzi ga nyanza".Baadhi ya wanaJF wamekuwa na maoni tofauti na mengine yamelenga katika hoja ya kuhisi labda waliokamatwa wameonewa ama chuki binafsi. Whatever the case will be katika hisia, lakini kama kweli wameshiriki na ushahidi upo, hatuna sababu ya kutetea eti kisa mbona fulani ajakamatwa.

Uchaguzi wa rushwa umekuwa ukiwaweka madarakani wenye nacho na masikini/wazalendo wenye nia ya kuwatumikia Watanzania kukosa nafasi hiyo (awe CDM,CUF ama CCM). Wakubwa hawa wanaotusumbua huku juu kwa scandal mbali mabali za kifisadi huanzia hapa (Wanasiasa-Uchaguzi). Iwapo CCM imejitoa kuanza na hili katika chaguzi zake na zinginezo, nadhani busara kwa wazalendo kuunga mkono jitihada hizi maake athari yake si kwa CCM tu ata kwa Wagombea wengine wa upinzani (anaweza akawa na uwezo lakini akashindwa kupita kwa sababu ya Rushwa).

Binafsi naunga mkono mapambano haya na yaendelee kwa kasi mpaka wezi hawa wa haki za wananchi katika chaguzi tuwatokomeze.Ifikie hatua uwezo wa mtu uumpe madaraka na sio "vijicenti". Pia watanzania ambao wako tayari kupokea ebu tuwe wazalendo basi, tukikataa hawawezi kutoa hawa.

Hizi ID mpya ambazo zinaonesha pasi na shaka yeyote kwamba mwenye ID hii tunaye hapa muda mrefu kwa ID nyingine huwa nakosa majibu ya malengo ya watu, na nyingi ya ID hizi zimefunguliwa mwezi Februaly, na jinsi ya kugunduwa malengo halisi ya watu hawa hutoweza hata siku moja kukutana nao jukwaa lingine zaidi ya hili jukwaa la siasa!! why?....

user-online.png
Mussa Wangota

Today 15:44
#229
Junior Member Array

Join Date : 27th February 2012

Posts : 6
Rep Power : 302
 
Mkandara neno zito sana hili, ila/but/lakini;

1. unaona kweli kila aliye JF anayempenda Lowassa ni mtu wa Lowassa?? yaani ule utashi wa binadamu wa kumpenda huyu na kumchukia huyu hauko tena?

2. Unaamini kweli kabisa JK na EL ni maadui?? hauoni kuwa kuan uwezekano mkubwa sanaa fulani inafanyika hapa?

kumbuka mkuu wa tume ya uchaguzi ni shemeji wa Lowassa, kumbuka pia mahusiano ya Rostam na JK ni mazuri sana kwa sasa kuliko hapo awali! kumbuka pia urafiki wa Rostam na Lowassa ni dhahiri!

naona kuna sanaa fulani na Taifa lijitayarishe kwa unbelievable movie, kumbuka JK ili awe salama lazima amweke mtu ikulu, mwenye nguvu hiyo ni Rostam na Lowassa, Rostam kama Mtanzania, mwarabu na Rostam kama CIA!

In other words tukiingia ndani zaidi Kikwete kwekwa pale na wamarekani piga ua atakayekuja atawekwa na hao hao wamarekani ambapo Kikwete hatakuwa na ubavu wa kumfanya lolote
Mkuu siku hizi mawazo makubwa kama haya hapa sio mahali pake, mmetengewa ukumbi wenu maalum unaitwa FIKRA PEVU.

Hapa habari zinazotakiwa siku hizi ni Lowasa Fisadi, Chadema gogoro lanukia, n:K, lakini mambo uliyoyaongea ni mazito kiasi kwamba hawajui kama tawala za duniani zinapangwa na Freemassons, so what if kama Lowasa ni Agent wao? who to stop? Na kwa nini Dr Slaa mpaka leo haijulikani alipata kura ngapi! na hata Kikwete mwenyewe kama kweli aliongoza kwa kura halali nae hajui alipigiwa kura ngapi!!

Ni kwa nini Kikwete awe Rais wa kwanza kutoka Africa kuonana na Obama? na nina uhakika mavuvuzela mengi humu hajajui kwamba Richmond sasa hivi ndio Symbion Power mali ya Wamarekani, je kuna kiherehere yeyote aliwahi kuhoji uharari wa mkataba huo?
 
Bila shaka unamzungumzia Papa King mmiliki wa Tripple A,Mwarusha mjinga huyu ndiyo mweka hazina na mchangishaji mkuu wa fedha za rushwaa hasa wakati wa uchaguzi.Papa King alimponza Dr Batilda na sera za ukabila eti Arusha ni ya waArusha.(umenikumbuka Ditopile kipindi kile Temeke Dr Mrema aliwasumbua CCM wakaja na mipasho ya alo alooo mara Mrema hajuia kula chapati mwisho wa siku mgombea wa CCM akaangukia pua)
Na Lukumay?Yule ambaye bado anavaa rubega na mzigo wa cheni ya Gold and sometimes silver?
 
Mkuu siku hizi mawazo makubwa kama haya hapa sio mahali pake, mmetengewa ukumbi wenu maalum unaitwa FIKRA PEVU.

Hapa habari zinazotakiwa siku hizi ni Lowasa Fisadi, Chadema gogoro lanukia, n:K, lakini mambo uliyoyaongea ni mazito kiasi kwamba hawajui kama tawala za duniani zinapangwa na Freemassons, so what if kama Lowasa ni Agent wao? who to stop? Na kwa nini Dr Slaa mpaka leo haijulikani alipata kura ngapi! na hata Kikwete mwenyewe kama kweli aliongoza kwa kura halali nae hajui alipigiwa kura ngapi!!

Ni kwa nini Kikwete awe Rais wa kwanza kutoka Africa kuonana na Obama? na nina uhakika mavuvuzela mengi humu hajajui kwamba Richmond sasa hivi ndio Symbion Power mali ya Wamarekani, je kuna kiherehere yeyote aliwahi kuhoji uharari wa mkataba huo?
Mkuu Matola kule kuingia hadi kuomba ruhusa kwa invisible sisi kina nanihii tutajuaje kama wana fikra pevu.
 
Hapo kwenye RED ndipo watu wengi humu huwa wanakutilia mashaka, kama swala ni mtu wa kaskazini kuwa Rais, hakuna hata mmoja mwenye sifa zaidi ya Dr Wilbroad Slaa, kwahiyo basi kama shida yako ni mtu wa kaskazini kuwa Rais nakuomba rasmi kuanzia sasa uanze kumfanyia kampeni shujaa wetu Dr Slaa. CCM ni chama ambacho kimeshakufa hakina tena uhalali wa kuendelea kuitawala Tanzania, miaka 50 waliyopewa sasa imetosha.
Mkuu Matola,....hivi bado hujamuelewa Pasco anamaanisha nini?
Mie nilishamuelewa kitambo sana!....za mbayuwayu changanya na zako
 
Takukuru Leo wameamua kumgeuka Edward Lowasa na vibaraka wake katika marudiano ya uchaguzi wa Arumeru. Katika sakata Hilo katibu wa UVCCM wilaya ya Monduli ndugu Ezekiel Mollel ametupwa rumande Mara baada ya kukamatwa na simu yake ilipo pekuliwa na kukutwa na mesej alizokuwa Akiwasiliana na Lowasa kuhusu kuchukua hela kwa askofu na mathius manga kwa Lengo la kwenda kuwahonga wajumbe wa arumeru Mashariki.

Katibu huyo amekiri kupewa maelekezo hayo na Lowasa na kuomba asamehewe kwa kuwa Lowasa ni kiongozi mkubwa yeye asingeweza Kuwa na ujasiri wa kumkatalia. Hadi wakati huu Ezekiel Mollel na Askofu wapo rumande.

Pia katika tukio lingine Fred Lowasa amethibitika kumhonga ticket ya ndege Elirehema kaaya ili amsaidie Sioi aweze kushinda. Kwenye simu ya elirehema Kaaya zimekutwa mesej Kuwa nakulipia ndege pamoja na kukupa lile fungu la kuwapelekea wajumbe. Kwa ushahidi huu hadi sasa elirehema Kaaya yupo rumande.

Wakati wowote mambo haya yatapelekea wahusika kupelekwa mahakamani.

Wana Arumeru mashariki wafanye uchaguzi kwa amani na utulivu na tena wasiwe na hofu yoyote.

Yote yalioandikwa ni uwongo hayana ukweli wowote. Mods futa hii maneno ya uongo na uchochezi yasituletee matatizo ya kufungiwa jukwaa kwa kuzidi kutoa uzushi.
 
Mkuu source ni gazeti la Mwananchi, suala la kuamini huu ni uongo au ukweli ni la mtu binafsi. Kwa mfano wewe unaamini ni uongo lakini kuna wengine wanaamini ni ukweli.
 
Mkandara neno zito sana hili, ila/but/lakini;

1. unaona kweli kila aliye JF anayempenda Lowassa ni mtu wa Lowassa?? yaani ule utashi wa binadamu wa kumpenda huyu na kumchukia huyu hauko tena?

2. Unaamini kweli kabisa JK na EL ni maadui?? hauoni kuwa kuan uwezekano mkubwa sanaa fulani inafanyika hapa?

kumbuka mkuu wa tume ya uchaguzi ni shemeji wa Lowassa, kumbuka pia mahusiano ya Rostam na JK ni mazuri sana kwa sasa kuliko hapo awali! kumbuka pia urafiki wa Rostam na Lowassa ni dhahiri!

naona kuna sanaa fulani na Taifa lijitayarishe kwa unbelievable movie, kumbuka JK ili awe salama lazima amweke mtu ikulu, mwenye nguvu hiyo ni Rostam na Lowassa, Rostam kama Mtanzania, mwarabu na Rostam kama CIA!

In other words tukiingia ndani zaidi Kikwete kwekwa pale na wamarekani piga ua atakayekuja atawekwa na hao hao wamarekani ambapo Kikwete hatakuwa na ubavu wa kumfanya lolote
Kwa mtu yeyote mwenye kumfahamu Lowassa hawezi kumpongeza hata kidogo hata kama unayasoma tu hapa JF na huyajui ya ndani. Huyu jamaa hatari sana, na bila kuficha anaitumia dini na viongozi wa dini ktk kampeni zake halkafu watu hawaoni makosa hata kidogo. Pili sio tu anatumia kanisa ameweka watu kibao kila kona hadi kaingia ndani ya vyama Chadema na kupandikiza watu wake ili kuhakikkisha ana mtandao kila sehemu.

Sisemi hawa watu wametumwa wote lakini wapo wanaotumiwa bila kujijua na wapo wanaojua wanafanya nini ndani ya vyama hivi. Utanisamehe sana kusema kwamba Lowassa kaingia hadi ndani ya Chadema hivyo sintoshangaa kusikia kwamba vita hii imegeuka kuwa ya kidini kweli.
Mimi nawatahadharisha tu watu hapa JF wafahamu kwamba Lowassa ana nia mbaya sana na sijui hoja zake anazijenga vipi ikiwa JK mwenyewe anamaliza awamu yake mwaka 2015. Pengine ktk hizo propaganda zake anawaambia watu kwamba ni lazima uchaguzi wa mwaka 2015 lazima raisa awe Mkristu - yale maneno ya Pasco hivyo wanaanza kujiandaa. Sijui lakijni habari hizi zimesambaa mjini ni za uhakika kwamba Lowassa ndiye kaitangaza vita. Nilikuwepo...
 
Mkuu Mujuni majani,

Mkuu wangu Mujuni Majani,mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa,mimi ni mTanzanaia kwangu mimi Tanzania kwanza vyama baadae nina amini hivi vyama tunavyoshabikia leo vinaweza kutoweka kesho lakini taifa linaloitwa Tanzania au ukipenda Tanganyika haliwezi kutoweka krahisi rahisi.Napenda kuisemea haki bila kujali haki hiyo inasimamiwa na chama gani au mtu gani.Kwakuwa sina chama ninachokiabudu ni rahisi sana kukosoa chama chochote au kiongozi yoyote asiyeweka maslahi ya Tanzanaia mbele.Wengi wanashanga ninpomsifu Samwel Sitta anaposimamia vyema maslahi ya Tanzania katika mikutano ya EA na wakati huo huo namlaani Ngeleja kwa kushindwa kusimamia rasilimali za Tanzania eg dhahabu na nk,mikataba mibovu ya umeme na uhaba wa umeme wakati Tanzania ina gesi na mkaa wa mawe ni sababu nyingine zinazonifanya ni mdharau Ngeleja.Kwangi mimi uwezo wa mtu binafsi ni muhimu kuliko chama (muungano wa watu).

Ngongo ivi wewe ni cdm, ama ccm,coz michango yako humu haijengi upande wowote
 
Kwa mtu yeyote mwenye kumfahamu Lowassa hawezi kumpongeza hata kidogo hata kama unayasoma tu hapa JF na huyajui ya ndani. Huyu jamaa hatari sana, na bila kuficha anaitumia dini na viongozi wa dini ktk kampeni zake halkafu watu hawaoni makosa hata kidogo. Pili sio tu anatumia kanisa ameweka watu kibao kila kona hadi kaingia ndani ya vyama Chadema na kupandikiza watu wake ili kuhakikkisha ana mtandao kila sehemu.

Sisemi hawa watu wametumwa wote lakini wapo wanaotumiwa bila kujijua na wapo wanaojua wanafanya nini ndani ya vyama hivi. Utanisamehe sana kusema kwamba Lowassa kaingia hadi ndani ya Chadema hivyo sintoshangaa kusikia kwamba vita hii imegeuka kuwa ya kidini kweli.
Mimi nawatahadharisha tu watu hapa JF wafahamu kwamba Lowassa ana nia mbaya sana na sijui hoja zake anazijenga vipi ikiwa JK mwenyewe anamaliza awamu yake mwaka 2015. Pengine ktk hizo propaganda zake anawaambia watu kwamba ni lazima uchaguzi wa mwaka 2015 lazima raisa awe Mkristu - yale maneno ya Pasco hivyo wanaanza kujiandaa. Sijui lakijni habari hizi zimesambaa mjini ni za uhakika kwamba Lowassa ndiye kaitangaza vita. Nilikuwepo...

Mkuu Mkandara binafsi mimi naheshimu sana michango yako hapa jamvini, wewe ni sehemu ya watu makini hapa JF, lakini hili la kwamba Rais ajae ni lazima awe mkristo halina mjadala ndani ya CCM na Lowasa analijuwa hili vyema, labda vyama vya upinzani ndio havitoendeshwa na utashi huu, lakini Mwislamu yeyote mjanja na anaeona mbali tayari ameshaujuwa ukweli huu na ndio maana katika sarakasi za urais ndani ya CCM husikii majina ya kiislamu, hili liko wazi, na ndio maana hata Bernad Membe baada ya kugunduwa kwamba haesabiki kama mkristo bali Mwislamu nae ameshanawa mikono mapemaaa!!
 
Mkuu Mujuni majani,

Mkuu wangu Mujuni Majani,mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa,mimi ni mTanzanaia kwangu mimi Tanzania kwanza vyama baadae nina amini hivi vyama tunavyoshabikia leo vinaweza kutoweka kesho lakini taifa linaloitwa Tanzania au ukipenda Tanganyika haliwezi kutoweka krahisi rahisi.

Napenda kuisemea haki bila kujali haki hiyo inasimamiwa na chama gani au mtu gani.Kwakuwa sina chama ninachokiabudu ni rahisi sana kukosoa chama chochote au kiongozi yoyote asiyeweka maslahi ya Tanzanaia mbele.

Wengi wanashanga ninpomsifu Samwel Sitta anaposimamia vyema maslahi ya Tanzania katika mikutano ya EA na wakati huo huo namlaani Ngeleja kwa kushindwa kusimamia rasilimali za Tanzania eg dhahabu na nk,mikataba mibovu ya umeme na uhaba wa umeme wakati Tanzania ina gesi na mkaa wa mawe ni sababu nyingine zinazonifanya ni mdharau Ngeleja.Kwangi mimi uwezo wa mtu binafsi ni muhimu kuliko chama (muungano wa watu).

Kama maelezo yako haya yote yanatoka ndani ya nafsi yako je uko tayari siku kumsifia Godbless Lema kwa jambo zuri atakalofanya?
 
My God ewe mwenyezi mungu muhurumie mtu huyu, Hivi wewe unaamini Riziwan Kikwete ambaye amemaliza chuo kikuu juzi tu awe Billionea!! hujui kama tunaibiwa na pesa zinakwenda kwa Ridhiwan? Misingi bora angeanzia nyumbani kwake kwanza kama alivyofanya Nyerere, hakuna mtoto wa Nyerere alietumia ikulu kukwapuwa mapesa ya Wadanganyika.

Majungu na Ukuda Jazz Band.
 
Back
Top Bottom