Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,558
- 1,460
Matokeo ya mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM huko Arumeru yanaonyesha jinsi mtu huyu alivyo hatari pamoja na ushahidi wote kama huu -Na bado!
Mkuu Mkandara with due Respect! Kweli Unaamini Lowasa na Uhatari wake ambao wewe unaukubali hapa Angeweza Kutumua SMS kuelekeza Mtu akatoe Rushwa? Hivi Lowasa ni jitu gani linaloshindikana na CCM yenye Jeshi, Polisi, Mahakama, Takukuru ambao wakuu wake wote ni Wateule wa Rais ambaye kuna watu wanataka Kutuaminisha kwamba amemtangazia Vita Lowasa