Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

vipi kuhusu wale wenye elimu wako tanzania na hawana kazi? what about them? manake unapo mshauri mtu arudi nyumbani lazima ufikirie kwamba huko tanzania pia kuna watu wana wamesoma na hawana kazi.kama kuna bogus jobs tanzania ambazo ni bora kuliko za marekani na zitamuezesha mtu kusukuma maisha mpaka atakapo pata kazi ya proffesional yake ni sawa.sio watanzania tu wako huku kuna nchi nyingi tu zingine mbona wao wanaweza kupanga maisha yao? au wangapi wamebadirisha proffesional hili kuweza kupata kazi yenye kipato cha kuweza kukutimizia mahitaji yako ya maisha? kama health care inatoa kazi nyingi kwa sasa hivi kwanini usisomee field hio hili upate ajira kuliko kustick na field ambayo haitoi hajira kwa wakati huo? ni muhimu kujaribu kuadjust na maisha saa nyingine.

Wenger, siku zote napigania "vichwa virudi tuongeze nguvu ya mapambano.. ila anzia huko kuweza kupata kazi nzuri

Usirudi kama ramani haijakaa sawa, unless umekumbwa na crisis... UKWELI NI KWAMBA HATA HAPA HOM HALI NGUMU, NIGAWA KUNA WACHACHE WANATANDIKA KWA SCALE ZA HUKO
, BUT THEY ARE A MINORITY
 
Mtu ukiwa ugenini na ukapata shida kuliko uteseke au kijiingiza ktk vitendo vya ajabu2 vya aibu au kuvunjia taifa heshima..rudi kwanza home angalau uweze kujipanga upya!!

Home is always home friends!
 
Labda TZ ingetoa economic stimulus package ya kuwawezesha ndugu zetu kurejea nyumbani?

Suala la Dual Citizenship liliishia wapi?

./Mwanahaki
Viongozi wa nchi wanaonea wivu watu wanaoishi nje ya nchi, ndio maana hawataki dual citizenship, maana mtu akipata dual citizenship atafaidi huku na huku.
 
Viongozi wa nchi wanaonea wivu watu wanaoishi nje ya nchi, ndio maana hawataki dual citizenship, maana mtu akipata dual citizenship atafaidi huku na huku.

Viongozi wata kuaje na wivu? Kama watanzania wanaona bora nje kwa nini wasi chukue uraia wa huko? Kama viongozi wana "wivu" kwenye hili basi na waishio nje wana "tamaa". It makes no sense kusema viongozi hawataki kwa sababu ya wivu. Watanzania wa ngapi nje wana maisha bora kuliko viongozi wa nyumbani mpaka viongozi wawaonee wivu?
 
Viongozi wa nchi wanaonea wivu watu wanaoishi nje ya nchi, ndio maana hawataki dual citizenship, maana mtu akipata dual citizenship atafaidi huku na huku.

Pretty, wao ndiyo wanadhani hivyo kumbe ukweli ni kwamba Tanzania ndiyo itanufaika zaidi. Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda wameona umuhimu mkubwa wa kuwaruhusu wananchi wao wanaoishi nchi za nje kuweza pia kuendelea kuwa raia wa nchi zao bila kujali kama tayari wameshchukua uraia wa nchi wanaoishi, lakini kwetu kuna visingizio chungu nzima.

Eti juzi Kikwete anasema bado kuna pingamizi kubwa la kuruhusu dual citizenship toka kwa wananchi walio wengi. Lakini wananchi hao hao wanapinga mikataba ya madini ambayo haina maslahi na nchi, na huu ni mwaka wa nne sasa hajafanya lolote, wanapinga Wabunge kuongezewa mishahara na marupurupu zaidi na pia kutolipa kodi kutokana na mapato yao hayo lakini hili la kuwaongezea mishahara litafanyika kimya kimya na wataendelea kutolipa kodi, wanapinga safari za nje za Kikwete ambazo hazina maslahi yoyote kwa nchi yetu lakini njemba bado inaruka nchi za nje kila mara ili kuendelea na UVGD wake.
 
Heshima mbele mkuu. Mimi nina taka kuuliza maswali. Dual citizenship itamnufaisha nani zadi? The dual citizenship holder or the Tanzanians back home? Kama ita nufaisha the holders of the dual citizenship kwa nini Watanzania wa nyumbani waikubali? Kama ita nufaisha Watanzania wa nyumbani kwa nini wanje waingn'ang'anie? Hizo nchi za Africa zilizo ruhusu dual citizenship ume chunguza wana Diaspora wangapi? Kwa maana dual citizenship kunufaisha nyumbani ita tegemea sana na idadi ya diaspora na hao diaspora wana ingiza nyumbani kiasi gani? Hao walio ruhusu dual citizenship mnaweza kutupa statistics za jinsi ilivyo wasaidia na ika tolewa na estimation ya jinsi itakavyo tunufaisha sisi? Maana kila diaspora tofauti. Huwezi kusema diaspora wa nchi fulani wameingizia taifa kipato fulani ukasema kiwango kitakua hivyo hivyo na diaspora wa kwetu. Huko kunufaisha taifa na dual citizenship hawawezi kunufaisha taifa bila kuwa na dual citizenship? Kama ni kuiletea taifa pesa za kigeni what is stopping the diaspora from doing that even now? Nina maswali mengine mkuu lakini naona kwa kuanzia haya yanatosha. Naomba uelewe najaribu kuona jinsi dual citizenship itakavyo tusaidia. I hope nime kuuliza maswali yote kwa heshima na taadhima.
 
Viongozi wata kuaje na wivu? Kama watanzania wanaona bora nje kwa nini wasi chukue uraia wa huko? Kama viongozi wana "wivu" kwenye hili basi na waishio nje wana "tamaa". It makes no sense kusema viongozi hawataki kwa sababu ya wivu. Watanzania wa ngapi nje wana maisha bora kuliko viongozi wa nyumbani mpaka viongozi wawaonee wivu?
Watanzania wengi tu wameshachukua uraia wa huko nje, na baadaye wanarudi home kimya kimya bila serikali kujua kama mtu huyo tayari alishakuwa uraia wa nchi nyingine. Serikali hiyo hiyo inampa uongozi wa nchi mtu ambaye tayari ni raia wa nchi nyingine.Lakini serikali ingeweka wazi jambo hili wala wasingefanya kosa hili.
Mtu kuwa raia wa nchi mbili sio kuwa na tamaa, mie sioni ubaya wowote mtu kuwa na uraia wa nchi mbili. Serikali baadaye itaona umuhimu wa hili jambo na kuruhusu watu kuwa dualcitzenship.
 
hili swala la dual citizenship itamnufaisha nani sidhani kama ni muhimu kwani yoyote atakae nufaika ni poa tu imradi ni mtanzania mwenzetu au ni nchi yetu.jk ametoa sababu watu wanataka kunufaika huku na huku,kuna shida gani mtanzania akinufaika tanzania na nchi nyingine? mbona rostam ananufaika tanzania na nchi zingine? mbona wapo watoto wa viongozi wana uraia wa nchi zingine pamoja na tanzania? hii sheria inatumika kwetu tu kwasisi tulio kuwa chini au hatuna connection.
 
Watanzania wengi tu wameshachukua uraia wa huko nje, na baadaye wanarudi home kimya kimya bila serikali kujua kama mtu huyo tayari alishakuwa uraia wa nchi nyingine. Serikali hiyo hiyo inampa uongozi wa nchi mtu ambaye tayari ni raia wa nchi nyingine.Lakini serikali ingeweka wazi jambo hili wala wasingefanya kosa hili.
Mtu kuwa raia wa nchi mbili sio kuwa na tamaa, mie sioni ubaya wowote mtu kuwa na uraia wa nchi mbili. Serikali baadaye itaona umuhimu wa hili jambo na kuruhusu watu kuwa dualcitzenship.

Sasa kama wamesha chukuwa uraia huko wanaogopa nini kurudi kihalali? Kama wameona tabu kwanini wasinge baki raia wa Tanzania? Your argument is weak kusema dual citizenship iruhusiwe simply because Watanzania kwa hiari na mapenzi yao wenyewe wana amua kuchukua uraia wa nchi nyingine. Kama kuwa raia wa nchi mbili siyo issue kwa nini wana nga'nga'nia sasa? Obviously wameona kuna faida kwao na wana taka kudanganya kuwa ni kwa manufaa ya taifa kumbe ni self interests.
 
wala sio tamaa, ndio maana nikasema viongozi nao wana kiwivu.

hauku jibu my previous post. Waone wivu wa nini wakati viongozi wengi wa Tanzania wana maisha mazuri kuliko idadi kubwa ya Watanzania wa nje? na waonaje wivu wakati wao wanauwezo wa kubadilisha sheria sasa kwa nini waone wivu wakati wanaweza kuweka sheria hiyo na wao "kunufaika".
 
Ni kweli viongozi wa tz wana maisha mazuri, lkn wanazungukwa na mazingira mabaya, huduma za afya hovyo, miundo mbinu ndio usiseme. Hao hao viongozi wakiumwa wanakimbilia nje ya nchi kutibiwa. Na hata wakiweka hiyo sheria si rahisi hao kukubalika kuwa raia wa huko ughaibuni, maana hadi kufikia uraia si mchezo.
 
A bit of effort in analysing the fate of "educated Tanzanians" in the US. In a research context you seem to be attempting a research question in (1) with solution and probably recommendations in (2). However, the premises from which you set off to answer the question (a, b and c) seem (to me) to be tautological and well known to everybody. A young graduate in Latvia, the US, Honduras or Tanzania does not need to be warned of the need to work to survive. We are all told this by our primary school teachers, family members and friends. Particularly (c) has a criminal implication and I can assure you that not everybody takes that path. I am one with a practical experience on this one - as having spent over £4K of personal savings in pursuit of greener pastures in the west in the early '90s without success and with an option for (c) open to me - I retreated to Bongoland where I have been happy ever since. Each one of the people you seem to be trying to help needs to first identify the problem before setting off to solve it. In most cases, the problem is NOT lack of money or lack of jobs - as those are manifestations of the problem. Failing to plan is planning to fail - it is of ten said...

Some of our educated brothers and sisters are increasingly unhappy and openly frustrated with USA way of life. Highly educated Tanzanians are currently working in embarrassing lower paying jobs like nursing assistants, hard labor and taxi drivers. Most of them who rushed to USA just after their college graduation walk are increasingly find themselves out of touch with reality, most of them are still fantasizing how good their peers are doing back home, most of them are turn their frustration to clubs and prostitution to end pain inside. This forced me to ask myself two questions (1) why (2) what can we do to help them.

(1) Why? USA is very different from TV shows or fanatic lifestyle you all see on TV when you land in USA you are going to find out three important things (a) You must work to survive (b) Education is very expensive (c) You have a big possibility of violating US-Laws and traditional morals on the process of succeeding in U.S.A. You need to know the following in detail first.

Work to survive:

If you work without a permit is illegal, given that fact if you don’t have enough money in your pocket minimum of $1600 a month you must work. To work in USA you need personal identification number called Social Security Number, so that means you need Social Security Card for work identification. The problem you are going to face is most highly paying jobs are increasingly sensitive to illegal Social Security Cards, which are mandatory to any job. The other problem you are going to face is the fact that your USA host friends are not going to let you jobless just because of documents since everybody is doing it why not you? From beginning of your journey you are going to find yourself compromising your traditional morals and dreams you have for USA. After few months without any source of income you are going to find yourself under desperation and pressure to do something quick to make a living possible.

Social Security Number:

To work legally in USA you need Social Security Number, but due to political pressures the process of getting Social Security is more complicated than ever. For International Student to get SSN # you need to be In Status and that means to be a full time student.
.
Education:

For an international student to qualify for any benefit he/she must be in student status, that means you need to maintain 12hrs of college classes per semester and your performance status should be “good academic standings”. Together with education one of advantage of good status includes Social Security Letter, which students used to get Social Security Number. For a regular State college cost of international student for 12 hours semester is ranging from $4000-$8,000 plus or minus, One Year is two semesters. This cost is not only ridiculous but also laughable for a middle class young Tanzania to keep up with. Some Students with higher performance in GMAT or GRE may get a break of paying out of state fees, so the real cost is going to be around $2,000-$5,000. You must also consider the fact that getting scholarship is easy said than done.

What can we do to help them?

There’s no clear answer to this questions everybody think differently, however I am going to give my opinion honestly.

Social Behavior:

In my first paragraph some people may end up with conclusion that I called all Tanzanians graduate frustrated but I am not.

Background:

Young Tanzanians started a massive immigration to USA in 1996, most of them young student who completed their Advance levels. Most of them aged between 20-23 years of age. With older Tanzanians distance themselves with this young Tanzanians they learned fast how to hustle. This young group went through ups and downs just like any other young people but at the end of day they learned how to maneuver complicated life in USA. Those Tanzanians who came here after college find themselves living the past of their fellow high school classmates’ example documents hustles, boyfriends and girlfriends, clubbing. The only problem is the fact that now they have to do this at 25-27 years of age and not early 20’s. This group who went to high school together find themselves share very few things in common socially example. Those Tanzanians graduates came here with the altitude that they are smarter than their fellow high school mates because they did not make to local colleges like UD, Mzumbe or Sokoine, but their fellow mates who immigrate to USA became more matured and street smarter. This situation put many Tanzanians who graduate abroad very uncomfortable, most of them decide early they rather face problems with lack of street awareness rather than shameful asking embarrassing question or help to those who they ones consider looser’. The behavior is still common here in United States.

What is your Take on this? Stay and Hustle or Go home before is too late?
 
You may represent your US experience - but it is the same across the globe...
 
Nashangaa Mtanzania anayesema karne hii ya leo bado kuna aina za kazi "ambarassing" Basi ndugu yangu tujionee huruma kwani sehemu kubwa ya Watanzania wanafanya kazi za aina hiyo. Sijui wewe utawasaidia wangapi kuwaajiri kwenye kazi za heshima, huo utakuwa msaada mkubwa.
 
Hapo tuna kubaliana mkuu. Kazi ni kazi na siku zote masikini wata zidi matajiri. hatuwezi wote kufanya kazi za "heshima".
 
Frnkly speakin ni watu wachache wataagree na mimi,ila mimi ninaunga mkono kabisa what you wrote.US is tough ila cha kujiuliza jee ningekuwa nyumbani kuna ahueni!!Ukiniuliza mimi nitasema bora nijichimbie marekani hukuhuku!Ndug yangu kuna watu tulijaribu kurudi na degree yangu ya uchumi naona napata ela ya kula tuu tena lone,nikajiuliza jee nikiwa na fam.This is what i did!!US i work i get 16$ an hr coz status yangu ni greencard at the moment,then ninatransfer ela nyumbani kwasababu naamini kuna return kubwa nyumbani endap nitainvest kuliko hapa!!sijui wenzangu wanafanyaje??Ila with F1 visa status US is next to impossible kuishi in one peace.All the best kwa wahangaikaji wenzangu!!
 
May let's learn on how other countries have benefited on these remittances from abroad. Another question to ask is how prepared is the country to inject this pool of highly educated people. Lets assume the country is willing to tap into these educated Tanzanians would they make a difference in the current economy. Sometimes it's not a bad idea to take lessons from our neighbors. Rwanda has tapped into it's highly educated human capital and it seems to work for them. Would this work for us. Do some of the current leaders willing to let go of the power the hold so dear. Anyways the road ahead is not that smooth, so many huddles to jump. I think those who are still abroad have significanly contributed to our economy. Unfortunately, we do not have a system in place to track down this contribution. Some countries such as Mexico have made an effort to track remittances and top up in key development projects such as education and health.
God bless all those who work so hard to make ends meet.
 
This very interesting thread went down to ashes.... any change of mind to some? especially after credit crunch and now the crunch is over??
 
Back
Top Bottom