kyemo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2010
- 570
- 720
Unazipata wap hz,nilikia nazo zikaibiwa nimetafuta had nimechokaNmeona woote mnaongelea Eaphone tofaut tofaut ila kwa ushauri tu kwa wale ambao hawapendelei eaphone zenye raba coz tofaut tofaut ila kama mim czpend znazba ckio na skio linashndwa kupumua fresh! kwa ushaur wng eaphone za iphone Zile Og znpiga hatari na azibagui cm sound mpk bass unaskia vzr. sema kwa waliopo dar weng wanauza copy. .. Me nipo mwanza huwa nanunua kwa 30k cjawah kujutia : sifa zake kwanza hazikatik ata uikunje veep na ata ukifulia kweny nguo ynyew fresh