kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,526
- 8,033
Bei za huyo jamaa mkasi...mara mia uagize mwenyewEarphone fake mpaka madukani ,akihitaji org kuna jamaa anauza high life tz
Bei za huyo jamaa mkasi...mara mia uagize mwenyewEarphone fake mpaka madukani ,akihitaji org kuna jamaa anauza high life tz
Wapi uko?nenda maduka ya sound & Vision ukanunue vitu vya electronic hapo hata mimi baada ya kuuziwa maflash feki nilienda hapo nikanunua flash 8 Gb KWA 12000 NIKASHANGAA FLASH TU NAPEWA Risit ya EFD yenye Warrant Ya 5years, nenda hapo mkuu utapewa airphone orijino
Mimi huwa napigaga mziki, sina ufahamu na hizo Anker unazozungumzia ila JBL ukiipata kutoka nje ni spika inayotema vibaya sana.Umewai kutumiaspeaker ya anker mkuu?
Hahahahah jamaa utaniua hilo dongo la standard gaugeTangu lini machinga akauza vitu OG?
Earphones kuuubwa sikioni kama umefunga mabuyu,ai!
Hao jamaa nuksi...nina JBL charger 3 inapiga had shetan hapendMimi huwa napigaga mziki, sina ufahamu na hizo Anker unazozungumzia ila JBL ukiipata kutoka nje ni spika inayotema vibaya sana.
Ni miaka inapita sasa hakuna spika za JBL Tanzania labda uagize sababu nyingi ni feki.
JBL spika yake ya mid waweza sema ni Bass.
Samahani kwa kwenda nje ya mada ila hii brand ya JBL kwa upande wa vyombo vya mziki ni level nyingine.
Njoo nikuuzie nina earphone za Samsung J5 Prime bado mpya kbs .Wadau msaada nimenunua earphone juzi tu kwenye smartphone halafu zinakuwa hazisomi.
Msaada please. Nini tatizo....
Mkuu unawezaje kunisaidia nikazipata na mimi, nipo darHizo earphone ni shidaa...nmeagiza juz juz hapo leo ndio nmezipata...bass moja matata na mid imesimama pia...best earphone ever....View attachment 720553View attachment 720554
Agiza aliexpress mkuu..zipo nying tuMkuu unawezaje kunisaidia nikazipata na mimi, nipo dar
Mkuu unawezaje kunisaidia nikazipata na mimi, nipo dar
Mkuu nashukuru sana mzigo nimeupata leo!! Bwana hizi earphone ni balaaaa!!! Sio kwa mdundo huu, ni weka mbalina watoto
Dolla ngapi sheikh mpaka umezipataMkuu nashukuru sana mzigo nimeupata leo!! Bwana hizi earphone ni balaaaa!!! Sio kwa mdundo huu, ni weka mbalina watoto
[emoji3][emoji3]Mkuu nashukuru sana mzigo nimeupata leo!! Bwana hizi earphone ni balaaaa!!! Sio kwa mdundo huu, ni weka mbalina watoto
Mkuu hii ni habari nyingine!! Kama ndio unataka kuanza kuwa kiziwi ukiziwahi hizi ukaweka hadi mwisho halafu liwe sebene la werason au kofi olomide lazima masikio yazibuke!!! Daaaa si mchezo yaani kila chombo kwenye mziki unakisikia, jf idumu ndio inatupa habari ya mambo mazuri[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu hii ni habari nyingine!! Kama ndio unataka kuanza kuwa kiziwi ukiziwahi hizi ukaweka hadi mwisho halafu liwe sebene la werason au kofi olomide lazima masikio yazibuke!!!hahaaaa, Daaaa si mchezo yaani kila chombo kwenye mziki unakisikia, jf idumu ndio inatupa habari ya mambo mazuri[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ni kama dola 13,kupitia kwa mr. Mobile jamaa ni muungwana sana!! Wasiliana naye tu atakupa maelekezo na jamaa hana longo longo kabisa!!Dolla ngapi sheikh mpaka umezipata
Hahah huez kua kiziw mim zangu zina mwaka sasa...nakula ngoma bila shida...Mkuu hii ni habari nyingine!! Kama ndio unataka kuanza kuwa kiziwi ukiziwahi hizi ukaweka hadi mwisho halafu liwe sebene la werason au kofi olomide lazima masikio yazibuke!!! Daaaa si mchezo yaani kila chombo kwenye mziki unakisikia, jf idumu ndio inatupa habari ya mambo mazuri