Earphone fake zinavuruga sana

Earphone fake zinavuruga sana

Duuh poleni ayse...mimi huwa napenda earphone zenye mdundo haijalishi zikoje. Kwa Headphone yale makubwa kwangu big no.
Mi mpenzi wa kula ngoma kwa hiyo mdundo kwangu lazima!
Na si mpenzi wa hayo makubwa uyasemao pia...nataka kitu standard
 
Basi tatizo ni simu yako, lakini hizi earphone nyingi ni low quality, jaribu kutafuta za MI
7b3883c72187e56e9c0c26de283ba84b.jpg
241048381e89cc21c5e01f8238f5bb01.jpg
861819383e9a420bd22dbbda1d106140.jpg
Hizi earphone za vimipira naonaga kama ni uongo flan ivi yan...namaanisha kitu gani?

Jibu ni hivi kwa kawaida sikio likisha banwa na iyo mipira maana izo ni za kutumbukiza then zinabana sikio kabisa ni rahisi mziki kuusikia kama ni mzito apa nazungumzia ile base yake ofwhch mimi huwa na prefer zile za visponge ndio atlist zimekaa poa kama ni mdundo bas ni mdundo wenyewe ukizingatia zile sio za kutumbukiza kwenye tundu la sikio.
 
Mkuu umewai kutumia hizi? Xiaomi piston fresh edition. Ni hatari sana zina clear sound haziumizi maskio. Mm nilishaacha kununua earphone za hapa bongo maana nyingi ni low quality. Zinaumiza masikio tu.
c38abca1b33754354896260c02d70945.jpg
09c0af71e5eae46c03122850a5d4d2d4.jpg
ukiagiza inachukua mda gani kama ni Aliexpress?
 
Sasa ww katie mpila kweny zile za kawaida uskie kama utapata sound inayotoka kweny rock ,au kanunue mipira ya kariakoo kisha skia kama utapata base au sound kali
Hizi earphone za vimipira naonaga kama ni uongo flan ivi yan...namaanisha kitu gani?

Jibu ni hivi kwa kawaida sikio likisha banwa na iyo mipira maana izo ni za kutumbukiza then zinabana sikio kabisa ni rahisi mziki kiusikia kama nj mzito ofwhc mimi huwa na prefer zile za visponge ndio atlist zimekaa poa kama ni mdundo bas ni mdundo wenyewe ukizingatia zile sio za kutumbukiza kwenye tundu la sikio.
 
Sh ngapi Jumla gharama yake na kuagiza??
Rock zircon.PNG

Dollar 11.10 tu
Seller niliyemtumia ni huyo nilimzungushia duara la rangi nyeusi
Tar 2 mwez wa 9 niliweka order, tar 16 mzigo uko bongo
 
Naomba muongozo namna ya kuziagiza mkuu
Fungua account aliexpress.com, halafu uwe VISA card au Mpesa mastercad yenye pesa. Chapili uwe na physical address hapa bongo na kitambulisho kwajili yakupokea mzigo unapofika Posta.
NB
Sio lazima uwe na Sanduku la Posta.... cha muhimu ni kuandika jina lako kama lilivyo kwenye kitambulisho chako na namba ya simu basi.
 
Hizi earphone za vimipira naonaga kama ni uongo flan ivi yan...namaanisha kitu gani?

Jibu ni hivi kwa kawaida sikio likisha banwa na iyo mipira maana izo ni za kutumbukiza then zinabana sikio kabisa ni rahisi mziki kiusikia kama nj mzito ofwhc mimi huwa na prefer zile za visponge ndio atlist zimekaa poa kama ni mdundo bas ni mdundo wenyewe ukizingatia zile sio za kutumbukiza kwenye tundu la sikio.
hakika.
 
Mimi simu yangu kila earphone nazonunua zinakufa upande mmoja
Nikagundua tatizo ni simu, inatibika?
 
Sijakubishia ila kuna ka wizi apo
Sasa ww katie mpila kweny zile za kawaida uskie kama utapata sound inayotoka kweny rock ,au kanunue mipira ya kariakoo kisha skia kama utapata base au sound kali
Sikio likisha banwa ni rahisi kupata mdundo wa earphone acha ubishi
 
Fungua account aliexpress.com, halafu uwe VISA card au Mpesa mastercad yenye pesa. Chapili uwe na physical address hapa bongo na kitambulisho kwajili yakupokea mzigo unapofika Posta.
NB
Sio lazima uwe na Sanduku la Posta.... cha muhimu ni kuandika jina lako kama lilivyo kwenye kitambulisho chako na namba ya simu basi.
Mimi nimeagiza memory card hatimae juma 3 nimeambiwa nikachukue garama ya pale posta ni shlingi ngap
 
Mimi nimeagiza memory card hatimae juma 3 nimeambiwa nikachukue garama ya pale posta ni shlingi ngap
Huwa wanachukua 1000 au 2000 ya vocha maana wanakupigia simu, na ukiwaambia umesahau kuja na hela pia wanaweza wasikudai kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom