Earphone fake zinavuruga sana

Earphone fake zinavuruga sana

Aaah hahaha hiyo ni ile China registered Mail boss hapo hata Miezi 2 inaweza gonga

Iko hivi ishu sio Free shipping ishu je Umechangua Standard free shipping au Singapore Shipping unless utangoja mzigo hadi miezi 2.
ni kweli ilikuwa njia hiyohiyo moja ya China Registration mail
Kuna mzigo mwingine nilituma Singapore umefika baada ya siku 18 tu.
 
Umeona sasa Boss huo Vumilia Boss wangu nimeona hapo ngoma Imepitia BEIJING.
 
[emoji1373][emoji1373][emoji23][emoji23] aisee kua mpole..sio kwa route hizo unazopitia mzgo
Yaaani naona mzigo unaenda Beijing mara umerudi ulikotoka yaàni maruweruwe tu [emoji6][emoji6][emoji6]
 
Hahah daah relax tu mkuu

Utafika sema ndio kwa kusubr
Baada ya siku 85 masaa 15 na sekunde zake 30 hatimaye mzigo umefika mkononi....bahati mbaya niliagiza zingine kwa seller mwingine ndani ya siku 15 nikawa nimezipata
Ila hizi mambo zinagonga ayse, ni balaa hizi nilizopokea naziweka kama backup incase kama hizi ninazotumia sasa zikizingua.
20190926_170024.jpg
 
View attachment 1217814
Niuzie hizo bhasi boss...!!
 
Si umeona balaaa lake mkuu? Aisee hiyo ya siku 85 kiboko [emoji1787][emoji1787]
Baada ya siku 85 masaa 15 na sekunde zake 30 hatimaye mzigo umefika mkononi....bahati mbaya niliagiza zingine kwa seller mwingine ndani ya siku 15 nikawa nimezipata
Ila hizi mambo zinagonga ayse, ni balaa hizi nilizopokea naziweka kama backup incase kama hizi ninazotumia sasa zikizingua.
View attachment 1217814
 
Baada ya siku 85 masaa 15 na sekunde zake 30 hatimaye mzigo umefika mkononi....bahati mbaya niliagiza zingine kwa seller mwingine ndani ya siku 15 nikawa nimezipata
Ila hizi mambo zinagonga ayse, ni balaa hizi nilizopokea naziweka kama backup incase kama hizi ninazotumia sasa zikizingua.
View attachment 1217814
Kampuni gani...bei yake vipi
 
Aina gani hizi?
 
Duuh poleni ayse...mimi huwa napenda earphone zenye mdundo haijalishi zikoje. Kwa Headphone yale makubwa kwangu big no.
hizi mbaya,kuna earphome zinakata na hazisumbui sikio kama hizi.maana hizi ukivaa basi ya nje husikii tena.
 
Tatizo ni Tanzania Bureu of Standard - TBS.
Wangekuwa wanatimiza majukumu yao ipasavyo basi hata machinga angeuza earphone au headphone OG kwenye stendi za mabasi.
 
Back
Top Bottom