Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 584
Nilikuwa natumia Awei.. Hazidumu
Anker flip 3 vs Jbl sound CoreSaiz wana ofaa hyo apo utaipata kwa usd 119 kutoka usd 149
Na jbl extreme saiz bei ya ofa ni 199usd kutoka 299 usd
Pita hapa kweny site yao ujionee
Official JBL Store - Speakers, Headphones, and More!
Sound inayotoka mkuu huwez amini
Saiz wana ofaa hyo apo utaipata kwa usd 119 kutoka usd 149
Na jbl extreme saiz bei ya ofa ni 199usd kutoka 299 usd
Pita hapa kweny site yao ujionee
Official JBL Store - Speakers, Headphones, and More!
Sound inayotoka mkuu huwez amini
Soma comments hapo mkuu..jbl iko juu..sema kama unaangalia price na unataka kitu at least kipo decent basi anker ndio pakwenda....kweny site yao wana offa saiz wanauza usd 23 SoundCore Bluetooth Speaker
Kwa bei inayouzwa jbl extreme ni bora ununue anker sound core.
Okay [emoji120] ila kwa kipato cha Mtanzania? Na vyuma vimeee? Anker anatosha...Soma comments hapo mkuu..jbl iko juu..sema kama unaangalia price na unataka kitu at least kipo decent basi anker ndio pakwenda....kweny site yao wana offa saiz wanauza usd 23 SoundCore Bluetooth Speaker
Yaa for sure anker kwa kwa hal ya vyuma ndio kimbilio...Okay [emoji120] ila kwa kipato cha Mtanzania? Na vyuma vimeee? Anker anatosha...
Kwaio watu wote wanajua hilo duka la sound & vision lilipo sio?nenda maduka ya sound & Vision ukanunue vitu vya electronic hapo hata mimi baada ya kuuziwa maflash feki nilienda hapo nikanunua flash 8 Gb KWA 12000 NIKASHANGAA FLASH TU NAPEWA Risit ya EFD yenye Warrant Ya 5years, nenda hapo mkuu utapewa airphone orijino
lipo arusha metrople na kariakoo na postaKwaio watu wote wanajua hilo duka la sound & vision lilipo sio?
Hizo earphone ni shidaa...nmeagiza juz juz hapo leo ndio nmezipata...bass moja matata na mid imesimama pia...best earphone ever....Mkuu hata mimi nilipata tatizo kama hili lako, kununua ma feki haya ya kariakoo na kusikiliza mchele na inakera Sema ukweli.
Kama unaweza kuagiza ningekushauri ununue headphones zinazoitwa Rock Zircon, ni nzuri sana sana sana hadi huwezi amini bei yake. Bass A+, Mids A+, Comfort A+ huwezi kukosea na zinauzwa 21,000 AliExpress. Kuna nyimbo zimo kwenye simu yangu tokea 2009 lakini hivi majuzi ndio nimesikia vikorombwezo amabvyo haya ma earphone hayawezi produce. Hizi headphones ni nzuri to the point mpinzani wake ni headphones za 200,000+ kwa sasa nina headphones za Jaybird lakini huwa nazirudia hizi mara kwa mara.
![]()
Reviews zake hizi hapa utaona hata headphones za xiaomi hazioni ndani, ukiwa unataka kujua ubora wa headphones za kichina uwe unapitia hii website utajifunza mambo mengi sana. Review: ROCK Zircon (RAU0501) - AudioBudget
![]()
Video review hii hapa
Headphones nyingine ambazo nazi kubali na ni bei ndogo ni hizi hapa KZ ATE sema kama unapenda nyimbo zenye bass kama hip hop nunua nilizo kushauri Mwanzo.
![]()
Price yake...Hizo earphone ni shidaa...nmeagiza juz juz hapo leo ndio nmezipata...bass moja matata na mid imesimama pia...best earphone ever....View attachment 720553View attachment 720554
9 usdPrice yake...
Mkuu, umeonaaa sasa... Hii kampuni hii.. Ni nuksi.Hizo earphone ni shidaa...nmeagiza juz juz hapo leo ndio nmezipata...bass moja matata na mid imesimama pia...best earphone ever....View attachment 720553View attachment 720554
Umetisha mkuu maana niliziona kweny huu uzi...Mkuu, umeonaaa sasa... Hii kampuni hii.. Ni nuksi.
Earphone fake mpaka madukani ,akihitaji org kuna jamaa anauza high life tzTangu lini machinga akauza vitu OG?
Earphones kuuubwa sikioni kama umefunga mabuyu,ai!
Huyu jamaa anauza mpaka power bank yawezekana hata XIAOMI hagusi !!Mkuu, umeonaaa sasa... Hii kampuni hii.. Ni nuksi.