JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,020
- 1,673
Mimi huwa nachukua free bila charges, mara chache sana utakuta wanahitaji niwape pesaMimi nimeagiza memory card hatimae juma 3 nimeambiwa nikachukue garama ya pale posta ni shlingi ngap
Mimi huwa nachukua free bila charges, mara chache sana utakuta wanahitaji niwape pesaMimi nimeagiza memory card hatimae juma 3 nimeambiwa nikachukue garama ya pale posta ni shlingi ngap
Sijakubishia ila kuna ka wizi apoSikio likisha banwa ni rahisi kupata mdundo wa earphone acha ubishi
Basi baki na uyajuayoNdio nmekwambiaje kachukue za kariakoo sasa ule mdundo
Hivi unajua hapa tunaongelea mdundo gani? Inaonekana ww skio likibanwa tu tayar kwako mdundo...pole mkuu[emoji16]
Sure nimeweka hii.. ni shidaa hii appMzee baba tafta Selenium Music player, ni hatari hio!
Hatari sana mkuu!Sure nimeweka hii.. ni shidaa hii app
Thank you for purchasing Marco Bavagnoli - Selenium (SELENIUM - Music Player) from Google Play Store. You have paid total of Tsh 6500.00.Hatari sana mkuu!
Umenunua Premium kabisa. Full burudani hapo.Thank you for purchasing Marco Bavagnoli - Selenium (SELENIUM - Music Player) from Google Play Store. You have paid total of Tsh 6500.00.
Napenda zaid app za kulipia. Mala nyingi nikikuta app ipo free kabisa huwa nazi ignore na kuwa skna imani nazoUmenunua Premium kabisa. Full burudani hapo.
Hahahah hio kitu ukiwa na earphone za maana ni full eargasm!Napenda zaid app za kulipia. Mala nyingi nikikuta app ipo free kabisa huwa nazi ignore na kuwa skna imani nazo
Hapa nina earphone zangu nzuri, nakula music matata huku nimetulia yaani.. uzuri pia hii unapata ile kitu crality ( sijui kama ipo sawa ) ya musicHahahah hio kitu ukiwa na earphone za maana ni full eargasm!
Shule zimefungwa.Wadau msaada nimenunua earphone juzi tu kwenye smartphone halafu zinakuwa hazisomi.
Msaada please. Nini tatizo....
(SOUND & VISION) Hawa jamaa wanauza vitu quality sana 2017 nilinunua memory card GB 128 kwa 50,000 Hadi Sasa hivi inapiga kazi kama kawanenda maduka ya sound & Vision ukanunue vitu vya electronic hapo hata mimi baada ya kuuziwa maflash feki nilienda hapo nikanunua flash 8 Gb KWA 12000 NIKASHANGAA FLASH TU NAPEWA Risit ya EFD yenye Warrant Ya 5years, nenda hapo mkuu utapewa airphone orijino
Maduka ya Waarabu na wahindi hawanaga mbambamba(SOUND & VISION) Hawa jamaa wanauza vitu quality sana 2017 nilinunua memory card GB 128 kwa 50,000 Hadi Sasa hivi inapiga kazi kama kawa
Kabisa broMaduka ya Waarabu na wahindi hawanaga mbambamba