Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 16,303
- 33,758
Mkuu JokaKuu
Dr sezibera amekwenda kuongea mambo ya EAC katika mkutano binafsi Kenya ili kutoa nafasi ya vyombo vya habari kueleza nafasi ya nchi yake na Kenya dhidi ya Tanzania.Kama mtendaji mkuu wa EAC alipaswa kutoa kauli siku yoyote na si kwenye mikutano binafsi.
Dr Sezibera ameshindwa kuongelea mwendo wa EAC na matatizo yanayojitokeza. Kwanza lazima afahamu makubaliano ya soko la pamoja yalikuwa na hatua zinazopaswa kufuatwa.
Suala la ardhi ambalo limemuudhi kama Mnyarwanda na kibaraka wa Kenya, hayamo katika makubaliano ya EAC
Ilikubaliwa kuwa kila nchi iwe na utaratibu wake wa ardhi, hakuna mambo ya faster ameshindwa kuona facts.
Sezibera anaongoza na fikra za Kagame. Makatibu wengine walikuwa wanadiplomasia na jumuiya ilikwenda mbele.
Tangu Sezibera apewe ukanda EAC imezidi kuwa hovyo kwasababu ya kuongozwa na PK na kuwa kibaraka wa Kenya.
Kibaraka SEzibera aelewe Tanzania ndiyo nchi pekee iliyokuwa mstari wa mbele kuanzisha EA Federation na EAC iliyokufa na ya sasa. Tuna uzoefu wa kufanya mambo na tuna uzoefu wa matatizo yaliyotokea 1977.Rwanda alikotoka hawana uzoefu wa ''muungano'' hata wa Watusi na Wahutu, hawezi kufundisha asicho na ujuzi nacho.
Kuhusu ushindani, inategemea mtu anatafsiri gani ya ushindani i.
Ukabila kama wa Waluo na Wakaikuyu ni competetion. Wahutu na Watusi ni competition pia.Museveni na Koni ni competition.
Kwahiyo Tanzania inaweza kuogopa ushindani huo na sijui kama ni kosa.
Marekani taifa kubwa linalaumiwa katika NAFTA katika mambo ya ajira na uwekezaji.
Marekani inalinda masilahi yake kwa vile ndani ya NAFTA itapoteza zaidi kuliko kupata.
Nchi nyingine wanataka milango ifunguliwe ili waifadike. Vipi Tanzania ionekane inafanya makosa kuchukua hadhari.
Kwa wale waliokuwa hawapo au wadogo,miaka 25 hakuna ambaye angesema Tanzania inaweza kuwa second economy na tishio kwa first economy EAC. Leo hali ni tofauti sana.
Muhimu si kukimbia bali kukimbia kwa tahadhari hasa kuangalia interest za wenzetu ni nini.
Nakubaliana na JokaKuu kwamba mapungufu yaliyopo yafanyiwe kazi lakini siyo sababu kwanini Tanzania inachukua hadhari.
Fikiria kuwa EAC ya mataifa matatu wakikaa pamoja hawaongelei ardhi, Tanzania ikiwemo suala la ardhi linachukua nafasi.
Kwanza lilipokataliwa wakaja na njia ya vitambulisho ambayo ni mlango wa uani.
Kenya na Uganda walikaribia kupigana kwasababu ya KM 1, leo wapo mbele kusema tunaogopa ushindani.Upi huo? Je kugombania migingo ya KM1 siyo ushindani?
Hizi ni mbinu za kufunika hoja yao kubwa ya ardhi hakuna jingine.
Kama Tanzania ingekuwa inaogopa EAC Kenya isingekuwa mwekezaji namba 2 Tanzania.
Milango itafunguliwa kwa taratibu na sheria, siyo kutanguliza watu 20,000 halafu iletwe hoja ya soko la pamoja n.k.

Last edited by a moderator: