Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Tutauza wapi bidhaa??
Kama hawezi fikiria kwamba soko la bidhaa za tz sio lazima ziwe nchi za EAC pekee...basi wewe bado unafikiri ndani ya box na utuondolee utumbo wako hapa
Kwa taarifa yako wewe uliye ndani ya box ni kuwa uwezo wetu sisi wa uzalishaji kwa teknolojia duni sehemu nzuri kuuza ni nchi ambazo hazijaendelea sana kama Kenya, Uganda, Rwanda, Congo na nyinginezo za jirani. Kutengeneza bidhaa Tanzania ikaingia kwenye soko la Marekani si kazi ndogo. Tunatakiwa kujikita kwenye soko la nchi za hapa hapa jirani. Nchi yetu iko strategic kutumia soko la afrika mashariki na kati na Kenya ndio nchi yenye fursa nyingi.
Tatizo walimu wenu walikuwa wanawafundisha kujibu mitihani tu, hamuendi kujisomea pembeni na sasa dunia ina integrate nyie mmekuwa waoga kwa kuwa hamuwezi kushindana na watu wengine kwenye interview. Bakieni na uoga wenu, mbakie na umaskini wenu