Sekibuju
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 317
- 132
why did tz join in the first place,maana hapa sielewi kwanini ionekane tz inaburuzwa tu..nadhani tz imeshiriki katika kutengeneza protocol sasa iweje ionekane kama inaburuzwa...kwanini haijaangalia maslahi yake wakati wa kuandaa hizo protocol? tz is not competitive whatsoever,ni kama wale watoto wa matajili wa zamani...watoto wa matajiri zamani walikuwa characterized na ukilaza i.e walikuwa vilaza kwa kuwa home mambo safi watarithi mali tu..laikini dunia ya sasa haipo hivo....tunashuhudia matajiri wanalazimisha watoto wao kusoma maana zile mali si zao wanahimizwa watafute za kwao wenyewe....badala ya kuona EAC kama opportunity tunaiona na tunafanywa kuiona kama challenge huu ndo ukilaza ninaousema...ni hatari kwa dunia ya sasa to "think locally and act locally" ....haitatusaidia sana kukaa oooh ardhi yetu ndo wametolea macho,sisi tunategemea nini kutoka kwao?kumbukeni economical development we are not better than kenya,rwanda,uganda...despite the land and everything we own,,,,,ni aibu kuonekana tunalia tunaonewa wakati wao ilibidi ndo waonekane kulia lia....hii ni kwasababu hatuoni manufaa ya soko kwa kuwa hakuna tunachoenda kuuza huko, free movt of labour...are we educated better enough to compete in the eac labour market?ndo maana tunakuwa reluctant kutekeleza makubaliano tuloyafanya wenyewe....ni aibu
Acha kwasemea watz, wakati ww si miongoni mwao...,sema straight tujue ww ni wa wapi. Lkn ukijichanganya tunashindwa kuelewa aidha ni mtz unatetea ujinga wa wanyarwanda na Mseng...ebera wao au mnyarwanda.