EAC Chief warns Tanzania on regional Integration

EAC Chief warns Tanzania on regional Integration

nilifikiri huyu ps wa eac ni daktari wa fani kama uchumi anayeweza kuipeleka eac na wanainchi wake kwenye ukuransa mpya kumbe cv yake ni rebel doctor au war lord, yaani ea nzima kulikuwa hakuna mtu mwenye cv nzuri zaidi!!!!

Walifanya mipango. Si ndio yalikuwa maandalizi kwani walitaka EAC itawaliwe na mtu mmoja. Watanzania wamestukia hilo kwa sasa.
 
Tanzania ni muhimu kuliko EAC
1. No to land purchase
2. No to common tourist visa
3. No to free work permit
ukiangalia wanachokitaka ni ivyo vitatu ambavyo kwa TZ sie tutakua tuna loose hatuna cha kugain ktk ivyo vitatu kutoka kwa hawa wenzetu so tuachane nao kabisa tujiunge na tuimaishe sadc kwani hakuna m south africa atayekuja apa aanze kulia lia akiomba auziwe ardhi au atake kuja kufanya kazi bure!!! wanataka lile jeshi la wasio na ajira kule kenya lije hapa!! big Nooooooooooooooooooooo!!!!!

Mkuu umemaliza kila kitu! Kuna vichaka vingine wanajificha lakini lengo kuu ni hapo. Nani asiyejua? Na ni kwanini walianza vikao vyao visivyo na utaratibu? Walitaka tz isipeleke jeshi drc? Tulikataa toka mwanzo haya mambo ya federation, viongozi wakalazimisha. Hivi mbôna sadcc hawakomalii mambo haya? Kwamba tuwe na federation? Waende kwao na wahamiaji haramu wao!
 
Hivi mbona USA ipo NAFTA lakini haikuridhia na haikubaliani na baadhi ya terms za NAFTA?. Mbona UK ipo EU lakini haijaridhia na haikubaliani na baadhi ya terms za EU?. Hii haraka ya kutaka kuburuzana hapa EAC ya nini?. Hiyo Tanzania inayosemwa ina drag feet kwenye EAC mbona haisemwi hivyo kwenye SADC?. Hamuoni hawa wanaotaka kukimbiza mambo ya aldhi,Viza free labour eti viwe vya pamoja huku wao hawasemi wana aldhi gani ya kushea na watanzania,maugomvi yao ya makabila hawajatatua mpaka leo. Ni bora tukuze mahusiano ya kibiashara tu kwanza na hizo political federation,defence pact,free labour na terms nyingine zenye utata zingoje kwanza hao jamaa watambuane na wathaminiane wao kwa wao kwanza.
 
,Na hiyo mia utaipataje kwa uakika under EAC?

Kwanza hao wenzetu wanaonyesha ubabaifu wao wazi vile ambavyo wanaweza fanya wenyewe na vyenye maslahi kwa Mkenya wanaenda na go ahead ya Waganda na Wanyarandwa hila yakija kwenye mambo ambayo hili maslahi yawe mazuri kwao ndio Tanzania inagwaya.

Mbona kwenye maslahi kama ya kwenye ka reli kao uchwara hawajasubiri na wala kulalamika hila kwenye maslahi yetu ndio sisi tunawachelewesha, kama wangekua na nia ya wote wangelazimisha makubaliano kabla kuwahi kilicho kwenye maslahi yao, nyie ngojeeni wewe, Koba na ma traitors wenzako hiko siku tutawatia ababu kwa unafiki wenu.

Huyu ni wale wale, usibishane naye sana. Tanzania tumelea na kusomesha watu wengi sana ambao ukiwaambia waende wakaanzishe mradi wa kilimo wanakataa ili barabarani wanapiga kelele ajira hakuna! Its wonderful! Ajira sio ofisini kwenye viyoyozi vijana mlio/mnaomaliza vyuo!
 
Nilitegemea secretary general angekuja na ufafanuzi wa kipi kilitokea maraisi watatu tu wakakutana na kufanya kikao na kuwaacha nje maraisi wengine wawili kwenye jumuiya ya afrika mashariki., lakini kuja na shutuma dhidi ya Tanzania ni kukosa kua na uwezo wakutoa na kueleza kwa uwazi na ukweli kile ambacho ni haki na kukisimamia bila upendeleo, na bila kujali upande upi utasema nini. The Dr. Has a little disappointed me., he fails to air out his true independent fair and just opinion of the situation in the EAC.
 
Kwanza nina masikitiko makubwa sana kwa Idara ya Uhamiaji, RITA ikiwa wewe uitwaye Ruzibiza una-hold tittle ya uraia wa Tanzania. Pia masikitiko yangu yawafikie Kikosi cha Operesheni Kimbunga kama hawajaweza kukufikia na kukurudisha kwenu.

Pili, usitumie Jukwaa hili la JF kuandika chuki, uzandiki na uongo ili kuchafua mamlaka zetu. Ni wapi Mtanzania anapokwenda nchi nyingine za eac anaulizwa "mswali wee" na immigration wa Tanzania na haulizwi maswali hayo kutoka kwa immigration wa Kenya? Kama wewe ni mnyarwanda lazima tukuulize maswali unapotaka kuingia kama fomu yako haina maelezo yanayotosheleza yanayoendana na Mkataba wa Soko la Pamoja.

Tatu, unasema kwa kujua au kuhisia kwamba mfumo wa elimu wa Kenya na Uganda ni mzuri kuliko wa Tanzania? Huoni kama umejichanganya hapa? Mfumo wa Uganda kiasi unafana na wa Tanzania kwamba wana kidato cha sita ule wa Kenya unaishia kidato cha nne kabla ya kuingia chuoni, nini kusudia lako hapa. By the way, Tanzania iko katika "traffic light system" kwa masuala yote na sasa hivi taa inayowaka ni yellow, kwa hiyo wewe na mabwana zako kaeni tayari kuipokea red light itakayowafanya muwe kimya (sidhani kama utakuwa umeelewa hapa). Ungelikuwepo miaka ya tisini, ungejua idadi kubwa ya watanzania waliokuwa wakivuka kwenda Kenya na Ugnada kufuata the so called "international english medium schools", lakini leo hii watanzania wana "International English Medium Schools za kufa mtu; watanzania wanaovuka kwenda Uganda ni wale walifeli Tanzania na wanaenda kufanya-repeatition huko na kuafulu ili wajiunge na vyuo vya huko. Je unajua record ya wahitimu wa vyuo vikuu 10 years back kwa Tanzania ilikuwaje ukilinganisha na nchi za Kenya na Uganda, na sasa hivi hali ikoje? Huu ni mfano mchache wa "yellow light" inayowashwa na Tanzania. Kwa kifupi Tanzania hatuna tatizo kubwa na "mfumo mbaya wa elimu" labda ungelisema usimamizi mbaya wa elimu kidogo ungelieleweka.

mara zote nimekuwa nikisema wacha hoja zenyewe zichuane na siyo hoja vs individual.....nimetoa hoja kama huna hoja ya kushindana na ya kwangu usikimbilie kuni-weaken kwa kunipachika uaraia mwingine.....huo ndo uvivu ninaoupigia kelele kila siku....so unanitishia na operation ili iweje?ili nisiseme ninachofahamu?kwanini mnakuwa na mawazo mgando?hapa ndugu yangu umekosea tunashindanisha hoja na si individuals kama huna hoja huna haki ya kudandia mada....sipendi kufananisha kitendo cha wewe kunivua utz kwa hoja zangu na mkasa wa Generali Ulimwengu,Dr.ulimboka au hata gazeti la mwana halisi na kubenea wake....siamini kama hii ndo asili yetu watz ya kutumia nguvu (physique} pale nguvu hoja inaposhindwa,ni bad elements wachache kama wewe na wenzako.....walimu wanaofundisha hizo english medium wakenya na waganda ni wangapi?je walimu wangapi wakenya wamejaa vyuo vya tz?inachekesha sana hasa pale department ya kiswahili inapojaa wakenya...ni aibu...where is comperative advantage....ni mfumo gani unatoa wanafunzi wanaofaulu kuingia kidato cha kwanza ilihali hawajui kusoma wala kuandika?juzi matokeo yamekuwa cooked ili kuwafurahisha watu kama wewe,ni mambo mengi ....wewe kaa na hizo traffic lights usipobadilika in terms of attitude dont expect much....
NITAKE RADHI
 
■> This is another USELESS Dr. Sezibera.....useless....nonsense....& senseless....how come anaongelea upuuzi kuhusu Tanzania...? wtf....NTASHANGAA SANA...SANA...KUMWONA SITTA AKAE KIMYA.....MTIMUE HUYU HARAKA AENDE KWAO....manina zake.....Tanzania chase out this I.d.iot....YEYE ANAJUA ARDHI YETU HUYU...? hivi
anatujua kweli...?? Anajua maana ya kufuangua mipaka ya kibiashara.....??? nyambaf....he got employment. ...thru EAC....anatuletea ushenzi.....wamelikoroga na wataona cha mtema kuni....NA HAKUNA KUTOA USHIRIKIANO WOWOTE EAC......na Huyu senseless Dr.
atimuliwe haraka
....
==> Can he warn Tanzania...!!!?? can he.....???? lmao....lmfao...!!!! hold on....he is talking of our land....common tourist visa....common EAC passport....wanataka free work permit.....what....??? Tena huyu ni kumkwida fasta....Anajua mahamaka nyani huyu...?

=> No ..no....no...TANZANIA LET*s kick out this guy....kihiyo mkubwa huyu....hatumtaki Tanzania....
 
Kwanza nina masikitiko makubwa sana kwa Idara ya Uhamiaji, RITA ikiwa wewe uitwaye Ruzibiza una-hold tittle ya uraia wa Tanzania. Pia masikitiko yangu yawafikie Kikosi cha Operesheni Kimbunga kama hawajaweza kukufikia na kukurudisha kwenu.

Pili, usitumie Jukwaa hili la JF kuandika chuki, uzandiki na uongo ili kuchafua mamlaka zetu. Ni wapi Mtanzania anapokwenda nchi nyingine za eac anaulizwa "mswali wee" na immigration wa Tanzania na haulizwi maswali hayo kutoka kwa immigration wa Kenya? Kama wewe ni mnyarwanda lazima tukuulize maswali unapotaka kuingia kama fomu yako haina maelezo yanayotosheleza yanayoendana na Mkataba wa Soko la Pamoja.

Tatu, unasema kwa kujua au kuhisia kwamba mfumo wa elimu wa Kenya na Uganda ni mzuri kuliko wa Tanzania? Huoni kama umejichanganya hapa? Mfumo wa Uganda kiasi unafana na wa Tanzania kwamba wana kidato cha sita ule wa Kenya unaishia kidato cha nne kabla ya kuingia chuoni, nini kusudia lako hapa. By the way, Tanzania iko katika "traffic light system" kwa masuala yote na sasa hivi taa inayowaka ni yellow, kwa hiyo wewe na mabwana zako kaeni tayari kuipokea red light itakayowafanya muwe kimya (sidhani kama utakuwa umeelewa hapa). Ungelikuwepo miaka ya tisini, ungejua idadi kubwa ya watanzania waliokuwa wakivuka kwenda Kenya na Ugnada kufuata the so called "international english medium schools", lakini leo hii watanzania wana "International English Medium Schools za kufa mtu; watanzania wanaovuka kwenda Uganda ni wale walifeli Tanzania na wanaenda kufanya-repeatition huko na kuafulu ili wajiunge na vyuo vya huko. Je unajua record ya wahitimu wa vyuo vikuu 10 years back kwa Tanzania ilikuwaje ukilinganisha na nchi za Kenya na Uganda, na sasa hivi hali ikoje? Huu ni mfano mchache wa "yellow light" inayowashwa na Tanzania. Kwa kifupi Tanzania hatuna tatizo kubwa na "mfumo mbaya wa elimu" labda ungelisema usimamizi mbaya wa elimu kidogo ungelieleweka.
Well said huyu jamaa kama ni raia, basi uraia wake unatakiwa uwe stripped off . Kwa kweli huwa namshangaa sana. Sijui watu wa system hawaji humu wakamfuatilia huyu jamaa? Maana hapaswi kabisa kuwa mtanzania aidha arudishwe kwao au awe declared stateless. Gazeti la mawio wiki iliyopita lilizungumuza kuhusu watu wenye uraia wa karatasi wa Tanzania wakati wana uraia wa moyoni wa nchi nyingine kama huyu Ruzibiza, Koba and the like. Mtanzania kama unatakiwa kuipigania Tanzania no matter what. Tunatakiwa kuwa very careful na majilani zetu kwani siyo wema kwetu wanachotaka ni ku-root tu .
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nina masikitiko makubwa sana kwa Idara ya Uhamiaji, RITA ikiwa wewe uitwaye Ruzibiza una-hold tittle ya uraia wa Tanzania. Pia masikitiko yangu yawafikie Kikosi cha Operesheni Kimbunga kama hawajaweza kukufikia na kukurudisha kwenu.

Pili, usitumie Jukwaa hili la JF kuandika chuki, uzandiki na uongo ili kuchafua mamlaka zetu. Ni wapi Mtanzania anapokwenda nchi nyingine za eac anaulizwa "mswali wee" na immigration wa Tanzania na haulizwi maswali hayo kutoka kwa immigration wa Kenya? Kama wewe ni mnyarwanda lazima tukuulize maswali unapotaka kuingia kama fomu yako haina maelezo yanayotosheleza yanayoendana na Mkataba wa Soko la Pamoja.

Tatu, unasema kwa kujua au kuhisia kwamba mfumo wa elimu wa Kenya na Uganda ni mzuri kuliko wa Tanzania? Huoni kama umejichanganya hapa? Mfumo wa Uganda kiasi unafana na wa Tanzania kwamba wana kidato cha sita ule wa Kenya unaishia kidato cha nne kabla ya kuingia chuoni, nini kusudia lako hapa. By the way, Tanzania iko katika "traffic light system" kwa masuala yote na sasa hivi taa inayowaka ni yellow, kwa hiyo wewe na mabwana zako kaeni tayari kuipokea red light itakayowafanya muwe kimya (sidhani kama utakuwa umeelewa hapa). Ungelikuwepo miaka ya tisini, ungejua idadi kubwa ya watanzania waliokuwa wakivuka kwenda Kenya na Ugnada kufuata the so called "international english medium schools", lakini leo hii watanzania wana "International English Medium Schools za kufa mtu; watanzania wanaovuka kwenda Uganda ni wale walifeli Tanzania na wanaenda kufanya-repeatition huko na kuafulu ili wajiunge na vyuo vya huko. Je unajua record ya wahitimu wa vyuo vikuu 10 years back kwa Tanzania ilikuwaje ukilinganisha na nchi za Kenya na Uganda, na sasa hivi hali ikoje? Huu ni mfano mchache wa "yellow light" inayowashwa na Tanzania. Kwa kifupi Tanzania hatuna tatizo kubwa na "mfumo mbaya wa elimu" labda ungelisema usimamizi mbaya wa elimu kidogo ungelieleweka.
Well said huyu jamaa kama ni raia, basi uraia wake unatakiwa uwe stripped off . Kwa kweli huwa namshangaa sana. Sijwui watu wa system hawaji humu wakamfuatilia huyu jamaa? Maana hapaswi kabisa kuwa mtanzania aidha arudishwe kwao au awe declared stateless. Gazeti la mawio wiki iliyopita lilizungumuza kuhusu watu wenye uraia wa karatasi wa Tanzania wakati wana uraia wa moyoni wa nchi nyingine kama huyu Ruzibiza, Koba and the like. Mtanzania kama unatakiwa kuipigania Tanzania no matter what. Tunatakiwa kuwa very careful na majilani zetu kwani siyo wema kwetu wanachotaka ni ku-root tu .
 
Last edited by a moderator:
mara zote nimekuwa nikisema wacha hoja zenyewe zichuane na siyo hoja vs individual.....nimetoa hoja kama huna hoja ya kushindana na ya kwangu usikimbilie kuni-weaken kwa kunipachika uaraia mwingine.....huo ndo uvivu ninaoupigia kelele kila siku....so unanitishia na operation ili iweje?ili nisiseme ninachofahamu?kwanini mnakuwa na mawazo mgando?hapa ndugu yangu umekosea tunashindanisha hoja na si individuals kama huna hoja huna haki ya kudandia mada....sipendi kufananisha kitendo cha wewe kunivua utz kwa hoja zangu na mkasa wa Generali Ulimwengu,Dr.ulimboka au hata gazeti la mwana halisi na kubenea wake....siamini kama hii ndo asili yetu watz ya kutumia nguvu (physique} pale nguvu hoja inaposhindwa,ni bad elements wachache kama wewe na wenzako.....walimu wanaofundisha hizo english medium wakenya na waganda ni wangapi?je walimu wangapi wakenya wamejaa vyuo vya tz?inachekesha sana hasa pale department ya kiswahili inapojaa wakenya...ni aibu...where is comperative advantage....ni mfumo gani unatoa wanafunzi wanaofaulu kuingia kidato cha kwanza ilihali hawajui kusoma wala kuandika?juzi matokeo yamekuwa cooked ili kuwafurahisha watu kama wewe,ni mambo mengi ....wewe kaa na hizo traffic lights usipobadilika in terms of attitude dont expect much....
NITAKE RADHI

Nimekujibu na kukufafanulia hoja nyingi sana tena zilizo waziwazi, lakini tatizo lako hutaki kuelewa na kuwa "fairer", ndio maana sina budi kukulinganisha na hao jamaa unaowatetea siku zote. Tafuta post zilizotangulia ambazo nimekuuliza maswali na kukutaka utoe ufafanuzi kwa kele unazopiga lakini bila shaka umeshindwa kuzijibu. Kama hujajiandaa usiwe ukileta utumbo humu, watanzania hatuongozwi na hisia na kuamua kundika tutakavyo hasa kwenye mada sensitive kama hizi.

Nimekutahadharisha kuwa usitumie jukwaa hili kuandika usiyoyajua ili kueneza chuki na propaganda, nimekukumbusha historia ya elimu ya Tanzania ukilinganisha na jirani zetu wa Kenya na Uganda. Je mwaka 2000 Tanzania kulikuwa na vyuo vikuu vingapi na leo viko vingapi? Mtoto kumaliza darasa la saba na kutojua kusoma na kuandika si tatizo la mfumo wa elimu ni tatizo la usimamizi wa elimu-uelewe hivyo.

Nimalizie kwa kukutaka tena ufute kujiingiza kwenye utanzania, si kwasababu ya kuandika maoni yako in opposite views na seriakali au vinginevyo, hapana. Katika hili Jukwaa kuna wengi tu wanaoandika maoni yao tofauti lakini hawajapewa citizen doubt. Hivyo narudia tena wewe si miongoni mwa watanzania tuwajuao kwa uzalendo wao wa kitanzania. Binafsi huwa sikuelewi kama unasimamia nini. Kuzaliwa kwenu Tanzania kulikotona na machafuko ya nchi zenu hakuwapi haki ya moja kwa moja ya Utanzania. Screeining kali inafuata tutakufikia tu. Kama huelewi ukae kimya.

Kenya Rwanda na Uganda hakuna wataalamu wanaotumia utalaamu wao katika kuendeleza eac, wanatumia vimemo vya wanasiasa, kitu ambacho hakiwezi kuwa. Kama hujui ni kwamba the hottest debate inayoiweka eac kwenye hali iliyopo ni madai ya hao mabwana zako Kenya, Rwanda na Uganda kutaka mfumo wa Jumuiya uanzie juu kuja chini (yaani liundwe Shirikisho kwanza kisha shirikisho ndilo litumike katika ku-enforce Umoja wa Fedha, Soko la Pamoja na Umoja wa Forodha); nakuuliza hiyo kitu ni "practical" kwa mazingira ya nchi za EAC? na je sehemu gani hiyo system za Jumuiya za Kikanda iliwahi kutumika/na ilileta manufaa. Ukinijibu haya pasipo na dharau zako za kitusi ndiyo nitapata jibu la "capacity thinking level" yako.
 
Hivi kumbe bado tunahitajika EAC?

Ili kuingia moja kwa moja EAC ni wajibu wa nchi
wanachama kuheshimu mipaka ya uanachama wao
na kuhakikisha demokrasia inachukua mkondo wake
katika kila hatua ya uongozi.

La sivyo EAC itaonekana kama ni ushirikiano wa viongozi
wajasiriamali wenye nia ya kujitengeneza wao pekee kuwa
mabepari na kuwaacha wengine maskini na wasio na
matarajio yoyote isipokuwa utu wao.
 
..I don't think Tanzania should have her own national airline carrier.

..It would make more sense to me kama tukiwa na kampuni kubwa ya taifa ya kuchimba dhahabu yetu, chuma chetu, makaa yetu, etc. That is the direction I think Tanzania should take.

..Kwenye sekta ya usafirishaji ungekuwa na hoja zaidi kuuliza kwanini Tanzania Railways Corporation, na Tazara, hazifanyi kazi.

..Kwa kifupi Tanzania tuna uongozi mbaya. Rwanda mkipata uongozi kama wetu u will be worse than Somalia.

NB:

..wanaotuangusha ni ndugu zetu wanaoendelea kuichagua CCM. siyo kwamba wanaiangusha Tanzania tu, ila hata eneo zima la Afrika Mashariki na maziwa makuu.

Umenena mkuu. U great thinker.
 
Hongera, kumbe nawe pia ni mmiliki wa hizo ndege zinazosemekana kuwa ni za Rwanda. Una hisa ngapi? Ushapata gawio la kiasi gani hadi sasa kutoka kwenye hizo ndege "zenu"?

U must be psychic. Nina hisa 3,250. Gawio bado hatujaanza kupata faida ila kwa ripoti ya mahesabu ya mwaka huu wa fedha, tunatarajia kuanza kupata faida mwakani. Na mimi ndio nitaanza kuona faida si yangu tu bali wanyarwanda wote kwa ujumla. Karibu ununue hisa. Sisi hatubagui wawekezaji
 
Mkuu mngejiuliza nyie kwanza mbona hamna MELI wala TRAIN?. Halafu unauliza ndege kwa mwenzio! Ha ha ha!

Akili ndogo kweli wewe. Hata naona nikikujibu nitakuwa sijajitendea haki.
 
Mkuu umemaliza kila kitu! Kuna vichaka vingine wanajificha lakini lengo kuu ni hapo. Nani asiyejua? Na ni kwanini walianza vikao vyao visivyo na utaratibu? Walitaka tz isipeleke jeshi drc? Tulikataa toka mwanzo haya mambo ya federation, viongozi wakalazimisha. Hivi mbôna sadcc hawakomalii mambo haya? Kwamba tuwe na federation? Waende kwao na wahamiaji haramu wao!

Sasa mnapoona tuna kila kitu na hatuhitaji Jumuia yoyote kuungana nayo basi tusilalamike kuwa tunatengwa. Mimi nadhani nchi yetu ina matatizo makubwa ya kifkra, mitazamo na vipaumbele. Tupo kwenye SADC, OAU, EAC je tuna nufaika nini kuwepo huko. Na kwanini mwanzo tunakubali kuingia kwenye hizo jumuia halafu tunaanza kurudi nyuma? Sababu kubwa hatuna VISION tunaishi kwa kuwa kunakucha basi ila sio kwa kuwa tume jipanga na kujiandaa. Asilimia 70% ya bei za bidhaa nchini Rwanda ni gharama za usafiri. Hizi gharama zina changiwa na kutumia usafiri wa barabara badala ya Reli. Wenzetu wameliona hilo wakaomba serikali au EAC iwekeze kwenye kuboresha Reli, Wabongo kama kawaida yetu misemo lukuki ipo kwenye MCHAKATO,tunafanya UPEMBUZI YAKINIFU, TUNAJITAHIDI nk huku siku zikiyoyoma.

Serikali ya Rwanda kwa kutambua ukosefu wa VISION kwa viongozi wetu wameachana na kugharamia REli ya Isaka kwenda Kigali sasa wana ungana na Uganda na Kenya kujenga Reli na kuiboresha ile ya Mombasa kwenda Uganda. Hili ni pigo kubwa sasa kwa maendeleo ya kiuchumi kwa Tanzania. Tungechangamkia fursa ya kujenga Reli ya Isaka-Kigali tungewezesha mgodi wa Kabanga Nickel kuanza uzalishaji kwani tatizo lao kubwa ni usafirishaji na umeme. Sasa tumeacha peke yetu je tutaijenga hiyo Reli kutoka Isaka mpaka Kabanga?

Ukosefu wa maono una onekana hata kwenye maamuzi ya kufanya uwekezaji wetu (Serikali). Tanesco wame jenga mtambo wa kuzalishia umeme kwa mafuta Mwanza wenye uwezo wa kutzalisha MW60 je mwanza kuna uwezo wa kutumia hizo megawatts? Kwanini tusijenge Ngara tukasambaza kwa wananchi na Kabanga Nickel ? Kabanga Nickel peke yake wana hitaji MW80 kwa miaka 30 ili waweze kuzalisha madini ya Nickel na Cobalt hapa nchini. Tanesco wangepata pesa yao kwa uhakika, watanzania Wangi wangepata ajira, biashara nyingi zingefanywa katika ya Watz na mgodi na TRA wangekusanya kodizao.

Kwa kumalizia huma siku zote naifananisha Tanzania na MTOTO WA MFALME ALIYE IMBA VIZURI SIKU YA KUZALIWA MFALME NA MFALME AKA MWAHIDI ZAWADI. ALIPOPEWA NAFASI YA KUCHAGUWA ZAWADI YAKE HAKUJUWA ACHAGUWE NINI BASI AKA KIMBILIA KWA MAMA YAKE KUOMBA USHAURI, MAMA AKA MWAMBIA OMBA KICHWA CHA YOHANA MBATIZAJI. BINTI AKAOMBA KICHWA , NA MFALME HAKUWA NA JINSI KWANI HAKURUHUSIWA KUBADILI, MTOTO AKALETEWA KICHWA KWENYE SAHANI NA HAKUJUWA AKIFANYIE NINI.

Tanzania tumejaliwa nchi yenye raslimali nyingi lakini hatujuwi tuzitumi vipi ili kupunguza umaskini wa wananchi tunabaki kukimbia kivuli chetu wenyewe.
 
Jumuiya ya EA haikwepeki hata tukiamua kujitoa. Mfano mzuri ni nchi tatu za Norway, Iceland na Liechteinstein ambazo japo si wanachama wa EU imewabidi kutekeleza sera na taratibu za EU kuwezesha biashara kati ya nchi hizi na EU. The choice is simple,we have no choice tukubali yaishe.
 
Back
Top Bottom