Sidhani kama kuna Mtanzania ambaye ana mawazo ya kutaka Rwanda na Burundi watoke EAC. Nilichosema ni kuwa Rwanda inaihitaji EAC ambayo ni mali ya nchi 3, ndio maana mkaambiwa hamna haki ya kuomba mabadiliko yoyote mnapojiunga bali mnaingia kama mlivyoikuta! EAC ni kinga ya siasa zenu za kibaguzi huku mkiwa watu wa taifa moja. Danganyeni kokote lakini jueni dhambi yenu yya ubaguzi itawatafuna maisha milele!Hatujivuti wala hatuna uoga wowote kwa Rwanda na bwana zenu na ni haki yenu kuwa na federation lakini mfuate Treaty inasema nini (play by the rules of the game). Ubaya tunaosema ni ule unafiki wenu kama mlivyozoea yaani mnasema tofauti na jinsi mnavyofanya. Tumewalea na tunawajua vizuri sana kuliko nafikiri nchi nyingine.
Kwanini tuingie kwenye federation na nchi ambazo hazina uhakika na kesho na wanatawaliwa na masultani? Hatuwezi tukawa na federation na nchi ambayo rais wake anafikiri kuwa ni bora kuliko raia wengine kiasi cha kubadili katiba kama chupi ili abaki madarakani. Put your houses in order then talk of federation. Corruption imekuwa eti ndio kitu peke ambacho mnashughulikia! Uhutu na ututsi hata, equal opportunity kwa watu wenu, fear and terror among your people, uhuru wa mawazo! hapana!Tanzania tunasema lets build a strong EAC, economically, and not those fantasy of being sultans. with a strong economic base, the EAC federation will come up automatically. by then you may have matured democratically and denounce your racist thinking. Acheni kutafuta sehemu ya kuficha political instability and human right violations ya nchi yenu ya kibaguzi. Miungano mingi ya ambition ya viongozi bila reality za kimaisha huishia kufa and you have many examples kama unauelewa kama huo unaojifanya kuuonyesha hapa.
Inaonekana hata uelewa wako wa EAC nimdogo sana. Secretary General hapigiwi kura ila ni uteuzi wa kisiasa wa nchi ambayo inakuwa kwenye zamu ya kutoa SG. Hivyo mkitoa mpuuzi lazima atakubalika tu maana ni zamu yenu. Again, Watanzania hawajawahi kuwa na ubaya na watu wa Burundi na Rwanda ila hawakubaliana na genge la wahuni ambao wanafikiri wamepewa uwezo wa kutawala wanyarwanda wenzao eti wakiwaita watwana na wenyewe wakiwa mabwana. Hata kama angekuwa Mhutu anafanya hivi pia tungemwambaia hapana!
ontreal
iPad