wavuta bangi hao kaka Koba umewasahau?unaona ameishaingiza rwanda,baadaye kagame,kabla haijafika mwisho hii thread watakuwa wametaja na m23.....chuki itawatafuna wenyewe...
unajidai mjuaji sana....but u sims empty.....
wavuta bangi hao kaka Koba umewasahau?unaona ameishaingiza rwanda,baadaye kagame,kabla haijafika mwisho hii thread watakuwa wametaja na m23.....chuki itawatafuna wenyewe...
..Tanzania inasubiri nini kumtimua Dr.Seziraba?
..hivi kweli Dr.Seziraba/Rwanda inaweza kuituhumu Tanzania kwamba ktk EAC tunachuma tusichopanda?
..kwani Rwanda wana mchango gani ktk EAC mpaka wawe na kiburi na dharau kiasi hiki kwa Tanzania?
We kweli punguani. Kwani wewe unavojiona una ubavu gani kutuzidi sisi watz tunaopinga EAC? hebu hamia basi huko Rwanda au Kenya ukafaidike na hiyo EAC ndani ya EAC, halafu uje utuletee ripoti.Tatizo la Mtanzania ni kuambiwa ukweli,, hapa Dr Sezibera ameongea ukweli mtupu. Sisi watanzania imara tunaojiamini kuwa tunaweza kupambana sio Tu na waafrika mashariki wenzetu bali na hata dunia nzima tunaona integration kama fursa. Nyie watanzania ma-lazy with knows it all attitude mnaona kama hamko tayari na hamtakuwa tayari hadi mbingu zishuke. We need integration now
This Sezibera guy alishaanza kuipiga vijembe Tz tokea kabla hajawa SG,tangia alipokua Nairobi sijui kwene misheni, alikua akiandika viatiko vyake uchwara kwene gazeti la The East African, sijui Tz tu mazuzu kiasi gani kumtolerate huyu f.ala. Tz kuna ombwe kubwa la uongozi, na hii yote inasababishwa na sera ya kushibisha kwanza matumbo ya watawala badala ya kujali maslahi ya taifa kwanza.Seriously tunamtaka Waziri Sitta ajenge hoja ya kumkataa huyu jamaa kuendelea kuwa SG wa EAC--openly biased fellow! Mbona Juma Mwapachu hakuwa hivi?
.....ni Dr. Richard Sezibera ni Katibu mkuu wa EAC,Tanzania haiwezi kumtimua Dr kwa kuwa yupo kisheria na si mwajiriwa wa serikali ya TZ....
......ana uwezo wa kutuhumu na hata kushitaki mahamani nchi yoyote mwanajumuiya wa EAC pale anapoona haifuati utaratibu
.......Dr sezibera siyo Rwanda...sijajua umetumia nini (kichwa/tumbo)kufikiria na kuandika..."hivi kweli Dr.Seziraba/Rwanda inaweza kuituhumu Tanzania "
.......rwanda wameingiaje katika hizi tuhuma anazotoa katibu mkuu? Chuki zako zinazosababishwa na uelewa mdogo/uvimba macho sidhani kama zinakufanyia haki hata wewe mwenyew maana zinakufanya uonekane mp..umb...avu mbele za watu. mfano Rwanda imeingiaje katika hili?
Tatizo la Mtanzania ni kuambiwa ukweli,, hapa Dr Sezibera ameongea ukweli mtupu. Sisi watanzania imara tunaojiamini kuwa tunaweza kupambana sio Tu na waafrika mashariki wenzetu bali na hata dunia nzima tunaona integration kama fursa. Nyie watanzania ma-lazy with knows it all attitude mnaona kama hamko tayari na hamtakuwa tayari hadi mbingu zishuke. We need integration now
Wewe siyo Mtanzania na Kama ni Mtanzania basi umechanganya na M23 upande wa Baba yako.
UNAJUA KIINGEREZA HATA KIDOGO?Maana naona hapa tatizo litakuwa ama lugha ama uelewa....
Jamaa wanataka kufanya mazingaombwe ardhi ya Tz iwe ya EAC...Tanzania pia si tumetekeleza yote isipokuwa ardhi?
Jamaa wanataka kufanya mazingaombwe ardhi ya Tz iwe ya EAC.
Juzi nilikua natazama documentary moja kuhusu demographics na population boom ktk dunia. Akahojiwa mzee mmoja mnyarwanda akanukuliwa akilalama hajui atawarithisha nini wanawe 15 wakati ardhi aliyonayo yeye alirithishwa na wazazi wake haitoshi hata kusustain familia kwa mwaka mzima. Akahojiwa pia this Sezibera guy wakati huo akiwa Waziri, naye akakiri kua catalyst mojawapo ya Genocide ilikua ni kugombea resources ikiwemo ardhi, kwamba mtu akiota kwamba akiua familia ya jirani yake atajimilikisha nyara za huyu victim.
Approach yao ya kutukana na kushambulia TZ kwene majukwaa ya mikutano na magazeti ni dalili kwamba mbinu zao walizozitegemea zimegonga mwamba. Nayo operation Kimbunga imekua ni statement nzito kwao.
We ni mjinga wa ku2pwa,,Yaani we ni Poyoyo la ku2pwa,,na hakuna ardhi apo,,,,,kwanza we unajiona smart una nn,,,mnalilia Tz 2 kazi kutokwa na mate na miudende kutamani vya waTzTatizo la Mtanzania ni kuambiwa ukweli,, hapa Dr Sezibera ameongea ukweli mtupu. Sisi watanzania imara tunaojiamini kuwa tunaweza kupambana sio Tu na waafrika mashariki wenzetu bali na hata dunia nzima tunaona integration kama fursa. Nyie watanzania ma-lazy with knows it all attitude mnaona kama hamko tayari na hamtakuwa tayari hadi mbingu zishuke. We need integration now
UNAJUA KIINGEREZA HATA KIDOGO?Maana naona hapa tatizo litakuwa ama lugha ama uelewa....
Sio ardhi tu, inabidi pia wacontrol birth rate. Hawezi mtu akazaa watoto 15 halafu ategemee nchi nyingine au serikali imuwezeshe makuzi ya hao watoto. Tumeshawabeba vya kutosha tokea enzi ya mkoloni hadi leo...kama shida yao ni ardhi basi wakubali wawe sehemu ya DRC.
..ile hoja yao ya kukatiwa kipande cha DRC sasa igeuzwe kuwa wao ndiyo waunganishwe na kuwa-governed frm Kinshasa.
..Dr.Sezirabu kila akitoa tamko ni kuinanga Tanzania tu.
..sijamsikia akizinanga nchi nyingine.
..hatuwezi kuwa na EAC SG ambaye yuko biased against mmoja wa waanzilishi wa jumuiya hiyo.
Kama wanataka wawe wilaya za mkoa wa kagera ila mambo ya muungano hatutaki. Zanzibar inatutoa jasho halafu tunaongeza balaa. Wazenj wamefaidika kwa kusambaa tanganyika kujipatia ardhi lakini sasa wanatuona mafala.Jamaa wanataka kufanya mazingaombwe ardhi ya Tz iwe ya EAC.
Juzi nilikua natazama documentary moja kuhusu demographics na population boom ktk dunia. Akahojiwa mzee mmoja mnyarwanda akanukuliwa akilalama hajui atawarithisha nini wanawe 15 wakati ardhi aliyonayo yeye alirithishwa na wazazi wake haitoshi hata kusustain familia kwa mwaka mzima. Akahojiwa pia this Sezibera guy wakati huo akiwa Waziri, naye akakiri kua catalyst mojawapo ya Genocide ilikua ni kugombea resources ikiwemo ardhi, kwamba mtu akiota kwamba akiua familia ya jirani yake atajimilikisha nyara za huyu victim.
Approach yao ya kutukana na kushambulia TZ kwene majukwaa ya mikutano na magazeti ni dalili kwamba mbinu zao walizozitegemea zimegonga mwamba. Nayo operation Kimbunga imekua ni statement nzito kwao.
We ni mjinga wa ku2pwa,,Yaani we ni Poyoyo la ku2pwa,,na hakuna ardhi apo,,,,,kwanza we unajiona smart una nn,,,mnalilia Tz 2 kazi kutokwa na mate na miudende kutamani vya waTz