Kubali ukweli huna uzalendo na nchi yako. Mtanzania halisi yuko tayari kwa gharama zote kuilinda, kuitetea, na kuiheshimu nchi yake na siyo kutaka kugawa raslimali zetu kisa Jumuia. Wewe unajua kabisa wenzetu wanagombania ardhi yetu, wanagombania ajira, wanagombania uchumi wetu. EU Uingereza imekubali yote lakini si fedha wala kuingiliana hivyo hivyo na ndiyo maana si membe wa Schengen na amebaki na Pound yake
Kwako wewe mtanzania halisi ni Kinana ambaye Ana sura ya kisomal, rangi ya kisomali na hata nywele za kisomali. Ujinga na ubaguzi umekujaa...
Nimegundua mijitu mingi inayopinga integration kwa kisingizio cha ardhi haina haya ardhi robo heka. Mingi ni misela tu inakaa kwenye nyumba ya chumba kimoja Sinza au Mbagala na haina uwezo wa kununua hata robo eka. Sasa huna hata robo eka lakini unadai wakenya watachukua ardhi yetu, yako wewe na nani? Ardhi kwa sasa ni mali ya mtu binafsi au serikali, usijidanganye ardhi ya watanzania wakati Riziwani Kikwete anakaribia kuinunua wilaya yote ya Mvomero