Bashite jeMAONI YA MHARIRI gazeti la Mwananchi: Ni muhimu Makonda amalize utata huu
Wakati Rais John Magufuli alipoteua wakurugenzi wa majiji, manispaa na halmashauri kuliibuka maneno mengi, hasa mitandaoni kuwa mmoja wa watu walioteuliwa hana elimu ya kutosha kustahimili kazi hiyo.
Maneno hayo yalifikia hatua ya watu kusema kuwa mtu huyo amesomea masuala ya hoteli. Ilikuwa bahati kwamba walioteuliwa wakati huo walitakiwa wahakikiwe elimu yao kabla ya kuapishwa.
Kabla ya kula kiapo cha maadili ya uongozi, Rais Magufuli alizungumzia suala hilo na baadaye kumtaka mtu aliyetuhumiwa kuwa hana elimu ya kutosha, aonyeshe hadharani cheti chake na alifanya hivyo...
SanaaaUmeona eee
Kipi kichomdhalilisha mkuu?Kwa mawazo yako haya unamdhalilisha mzee wa ruksa apo juu
We kama KWELI hujui alichowakosea, HILI NENO BASHITE UNELIPATA WAPI? Acheni kujitoa akiliHabari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?
Hakuna aisee! wamemwacha peke yakeHaitwi tena kwenye kipindi pendwa cha morning call?
aliona fahari kuwaweka watu ndani sasa zamu yake. AMA KWELI MUNGU NI MKUBWA NA KUNA WENGINE NAO ATAWAADHIBU.Ndiyoo
Hivyo vyeti vya kuonyesha hana! Ni rahisi kwake kulia kanisani kuliko kuonyesha cheti!kwani ameonyesha vyeti vyake hlisi?
"hawa ndio vichaa tunaowatafuta..hebu tooka hapa"Naunga mkono hoja,jamani itoshe sasa hii ni too much! Tukilala Makonda tukiamka Bashite wengine mpaka tunaota tupo koromije! Loh! Emu kuweni na huruma hata kiduchu.