E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Vyeti vipo kwani kafika fika vipi hapo sema akivitoa sahizi mtahamia kwenye njaaa nyiee kaza kaza mzee wa koromije
Kama wengine walivyotumbuliwa na yy pia
 
98292a191b674b9b9414c0486eec0ca9.jpg
Daudi mwenzio uyu.... Ohooo
 
aliona fahari kuwaweka watu ndani sasa zamu yake. AMA KWELI MUNGU NI MKUBWA NA KUNA WENGINE NAO ATAWAADHIBU.
Malipo ni hapa hapa duniani
 
"hawa ndio vichaa tunaowatafuta..hebu tooka hapa"

Mkuu unaikumbuka hiyo kauli dhidi ya yule mwanamama? Huku TV zikiwa mubashara?

Unajua ni kiasi gani yule mama alivyoumia kudhalilishwa vile na kijana mdogo aliyeshindwa kufanya mambo yake kwa busara?

Kwanini aonewe huruma na wakati uwezo wa kujitokeza na kuwafunga watu midomo anao? Si hajaghushi vyeti?
Huyo mama popote alipo mwambieni hatukupendezwa na kile kitendo,na huyu jamaa lazima atumbuliwe au wale waliotumbuliwa warudishwe kazini afu kampeni ya kupinga kugushi vyeti isiendelee
 
Awaoneshe vyeti kama kina nani nyie?
Nani aliyetumbuliwa aliwaonesha vyeti?
 
Back
Top Bottom