[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji56] [emoji56]Yanga na mtibwa jana wametoka bashite bashite uko morogoro
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Zero yani, alipiga zero yani,ziro yani
Bashite ndo brand kubwa hapa tz kwa sasa
Bosi wewe mbishi!Nesi wa wapi wakati msjibu ya uhakiki bado yako kwenye mabano? Acha hadithi za abunuwasi hapa!!!
Wana ubavu? Waambie wale Easy Comedy kama utawasikia hapa kwa bosi wao!Shilawadu nawaonaaaa,mbona mpo kimya kuhusu bashite?
Haitwi tena kwenye kipindi pendwa cha morning call?Mbona huulizi clouds kihere here chote cha kuomba ufafanuzi kutoka kwa mkuu wa mkoa kimewaisha!
Hata kudodosa hawataki
Hadi pale atakapotuonesha vyeti ntakomaaa naye hadi mwisho wa uhai wanguWakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.
Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.
Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.
Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.
Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.
Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.
Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.
Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.
Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.
Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.
Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
Vyeti [emoji12] [emoji12] [emoji12][HASHTAG]#Barua[/HASHTAG] ya wazi kutoka [HASHTAG]#wananchi[/HASHTAG] wa Dar ES Salaam kwenda kwa [HASHTAG]#MkuuWaMkoa[/HASHTAG]....
Mh mkuu ulitukataza tusikeshe bar tukatii,ulitukataza tusile mirungi tukatii,ulituagiza tufanye usafi kila jmos tukatii,na mengine mengi...
Wewe tunakuomba [HASHTAG]#vyeti[/HASHTAG] vyako unaenda kulia kanisani kwani huko ndiyo sehemu ulipovihifadhi vikapotelea?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]