Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,064
- 18,367
Ni kweli basi ajitokeze hadharani aombe radhi na kuapa kutorudia tena!Mkuu anything too much is harmful.
Na kumbuka hotuba ya jpm kule bandarini
Ni kweli basi ajitokeze hadharani aombe radhi na kuapa kutorudia tena!Mkuu anything too much is harmful.
Tatizo alikosea kugusa hii sampuli,
mm nikikupiga unapotea kabisa(Gwajima)
Muwe mnamtag ili aone au ujumbe ufikie, mbona Paul Makonda yupo.Alete vyeti,kazi tunafanya na tunamkomalia
Alituita vichaa,magoigoi na kujiita Mungu wa dsm,kazi tunafanya na tunamkomaliaNaunga mkono hoja,jamani itoshe sasa hii ni too much! Tukilala Makonda tukiamka Bashite wengine mpaka tunaota tupo koromije! Loh! Emu kuweni na huruma hata kiduchu.
Cc Paul MakondaHabari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?
kuna nesi kafungwa miaka 28 kwa kosa la kufoji vyeti ili apate ugali wa wanawe, je na huyo unamzungumziaje????? hebu jaribu kuvaa uhusika wa watoto wa huyu Mama.
kulia sio sababu ya kutuaminisha yeye hakununua na wala hatumii vyeti vya mtu mwingine, hatutaweza kukaa kimya hadi akiri kuwa anatumia vyeti visivyo vyake ambayo kisheria inajulikana ni makosa, na mtuhumiwa huwa anafungwa jela miaka saba.
Afu bashite anajifanya katumwa na Mungu,Kumbe Mungu anatuma watu kufoji vyetikuna nesi kafungwa miaka 28 kwa kosa la kufoji vyeti ili apate ugali wa wanawe, je na huyo unamzungumziaje????? hebu jaribu kuvaa uhusika wa watoto wa huyu Mama.
kulia sio sababu ya kutuaminisha yeye hakununua na wala hatumii vyeti vya mtu mwingine, hatutaweza kukaa kimya hadi akiri kuwa anatumia vyeti visivyo vyake ambayo kisheria inajulikana ni makosa, na mtuhumiwa huwa anafungwa jela miaka saba.
kumjadiri=kumjadili huko shule ulienda kusomea ujinga au na wewe ni zile type za kina bashite?????, atoe vyeti mengine yafuatwe kama ni jela miaka saba au faini au vyote kwa pamoja.Kwahiyo ukiendelea kumjadiri hapa na yeye atafungwa? Au huyo nesi atafunguliwa?
Suala sio kusamehewa suala ni kuwajibika kwa kuachia ngazi na kuface charges za kugushi vyetiWakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.
Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.
Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.
Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.
Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.
Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.
Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.
Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.
Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.
Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.
Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
Weka vyeti mezani twende sawa
hahahahaha......tafsiri ya kilaza ndio inazidi kumuumiza anapoisikia.....Huyo ni kilazaaa